Kitimoto nacho BEI JUU!

Kitimoto nacho kimeanza kutoka Omani. Tuwe wavumilivu tu katika kipindi hiki kigumu cha kutegemea imported goods and aids.
 
Watukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.
Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair.
***Nakula huku Nina hofu sana
View attachment 2211443
Hata hiyo 14 ya mwanzo kwa huo muonekano ulikuwa unapigwa. Unepigwa ukapigwa tena! Haya pelekeni jukwaa la vitimoto nimeshakomenti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…