Kibingu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2022
- 1,078
- 1,445
Heshima kwa baba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima kwa baba.
Jikite kwenye hojaBinadamu tumeumbiwa kupenda uchafu zaidi ya usafi.
Hizo bei ni za wapi? Mbona mkoani ni 7,000?Kitimoto kitamu jamani. Japo Bei ndo maumivu
Uliyehama kwanza ni wewe. Huku kwetu 12,000. Bei haijapanda.Jikite kwenye hoja
Hapo itakuwa 3 star hotelHizo bei ni za wapi? Mbona mkoani ni 7,000?
Yaani unaenda hotelini unategemea bei iwe kama ya kitaani?
Juma 🤣🤣🤣Kitimoto kitamu jamani. Japo Bei ndo maumivu
Hivi naye Kitimoto kafanyeje tena??Watukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.
Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair.
***Nakula huku Nina hofu sana
View attachment 2211443
Peramiho tunakula kwa buku 6 tu,kachumbari bure!!Watukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.
Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair.
***Nakula huku Nina hofu sana
View attachment 2211443
Acha wengine wale. Wewe endelea zako kula mlenda.Mnakula uchafu tu yaani kula nguruwe Ni noma
Poleni San ,Sasa itakuwaje, ....wapi huko lakini?!Watukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.
Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair.
***Nakula huku Nina hofu sana
View attachment 2211443
Ndiyo hivyoKwamba mzigo una mafuta take yenyewe-dah nimecheka sana.
Jumuiya gani hapo Peramiho?Peramiho tunakula kwa buku 6 tu,kachumbari bure!!
Watukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.
Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair.
***Nakula huku Nina hofu sana
View attachment 2211443