Kitimoto nacho BEI JUU!

Kitimoto nacho BEI JUU!

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Watukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.

Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair.

***Nakula huku Nina hofu sana
images - 2022-05-04T164646.231.jpeg
 
Watukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.
Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg.

View attachment 2211443
Huu ni uonevu na ulafi wa wauzaji tu. Kwanza kitimoto ana mafuta yake mwenyewe.

Hawawezi hata kusingizia kupanda kwa mafuta kunaathiri biashara yao.
 
Watukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.
Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair.

View attachment 2211443
Huyo mbona kama mbuzi wa kihehe au kichina🤔.Kwanza mjini hakuna matembele bila shaka hapo ni uheheni🏃
 
Huu ni uonevu na ulafi wa wauzaji tu. Kwanza kitimoto ana mafuta yake mwenyewe.

Hawawezi hata kusingizia kupanda kwa mafuta kunaathiri biashara yao.
Hiyo ni kutokana na wanakochukua mzigo hao wauzaji.

Mpaka inafika kwa mlaji wa mwisho kuna kusafirisha, ushuru nk.

Na hata kwa wafugaji nako bei juu, gharama za ufugaji ziko juu pia.

Ndio maana unaambiwa wese likipanda hakuna bidhaa inabaki salama coz zote zinagusa usafiri.
 
Back
Top Bottom