Kitimoto rost, ndizi mbili na mirinda nyeusi baridi

Hii chakula nimeimiss Sana ,chakula yenye imebarikiwa kuliko vyakula vyote[emoji39]
 
lakini una makusudi sana mkuu ujue, ndo nini unatuma na nishashiba makande huku?

hahahha utakuja kuua watu huku
[emoji23][emoji23][emoji23] upo mkoa gani nikuletee
 
[emoji23][emoji23][emoji23] upo mkoa gani nikuletee
Arusha, tukishakula ile bange kama mboga ya ugali tunashushia na hiyo kitu kwa pembeni

mambo yanakuwa barabara kabisaaaaa

na haka kabaridi naona vikiendana sambamba
 
Ishu ya Mirinda nyeusi imeharibu kila kitu hii chaiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna Masheikh wengi pale walaji kitimoto, hujapata rafiki wa kula naye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…