Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana mkuu
AsantePoleni
Iko vizuri sana hii...
hapo mshanitoa mate mdomoni loooh, vibaya hivi lakiniNgoja nisuuze nafsi yangu kwanzaView attachment 2106656
Mkuu karibu sanaahapo mshanitoa mate mdomoni loooh, vibaya hivi lakini
hahahahahahha
lakini una makusudi sana mkuu ujue, ndo nini unatuma na nishashiba makande huku?Mkuu karibu sanaaView attachment 2112665
[emoji23][emoji23][emoji23] upo mkoa gani nikuleteelakini una makusudi sana mkuu ujue, ndo nini unatuma na nishashiba makande huku?
hahahha utakuja kuua watu huku
Arusha, tukishakula ile bange kama mboga ya ugali tunashushia na hiyo kitu kwa pembeni[emoji23][emoji23][emoji23] upo mkoa gani nikuletee
BalaaMkuu karibu sanaaView attachment 2112665
Ishu ya Mirinda nyeusi imeharibu kila kitu hii chai😂😂😂😂Somewhere in Kigogo Sambusa....
Katika utulivu wa hali ya juu najiuliza haya maisha yangekuwaje bila kitimoto rost, ndizi mbili na kachumbari pembeni? Kungekua na mbadala wake?.... nikiwa ndani ya tafakuri nzito, namwona Dada nadhifu na mrembo akisogelea mezani kwangu kashikilia sinia lenye kitimoto safi imeiva kiwango cha juu.. ni ufundi wa Shirima. Anafika na kuninawisha mikono kisha kutenga vitu na kuanza kuondoka na sinia. Wakati akiondoka namsihi aniletee Mirinda Nyeusi ya baridi.
Basi kazi ikaanza taratibu, yaani one-touch, finyango baada ya finyango. Ile ndo mwendo unaanza kushika kasi, mara ghafla simu ikaanza kuita..... nikajiuliza kwa hasira ni nani huyu anayeweza kunipigia nikiwa kwenye starehe kama hii??..😬😡😡..
Sasa wakati naitoa simu mfukoni kwa bahati mbaya ikaniponyoka.... kwenye harakati za kuiwahi isianguke nikajikuta nimesukuma ile meza ya plastic.... KITIMOTO yote na ile soda ikamwagika.. Aaarghh!!😬😬.. kuja kukaa sawa tayari yule mdada kashafuta meza na kusafisha pale chini huku akidai chake......
Sure mkuuIshu ya Mirinda nyeusi imeharibu kila kitu hii chai😂😂😂😂
Kuna Masheikh wengi pale walaji kitimoto, hujapata rafiki wa kula naye?Somewhere in Kigogo Sambusa....
Katika utulivu wa hali ya juu najiuliza haya maisha yangekuwaje bila kitimoto rost, ndizi mbili na kachumbari pembeni? Kungekua na mbadala wake?.... nikiwa ndani ya tafakuri nzito, namwona Dada nadhifu na mrembo akisogelea mezani kwangu kashikilia sinia lenye kitimoto safi imeiva kiwango cha juu.. ni ufundi wa Shirima. Anafika na kuninawisha mikono kisha kutenga vitu na kuanza kuondoka na sinia. Wakati akiondoka namsihi aniletee Pepsi ya baridi.
Basi kazi ikaanza taratibu, yaani one-touch, finyango baada ya finyango. Ile ndo mwendo unaanza kushika kasi, mara ghafla simu ikaanza kuita..... nikajiuliza kwa hasira ni nani huyu anayeweza kunipigia nikiwa kwenye starehe kama hii??..😬😡😡..
Sasa wakati naitoa simu mfukoni kwa bahati mbaya ikaniponyoka.... kwenye harakati za kuiwahi isianguke nikajikuta nimesukuma ile meza ya plastic.... KITIMOTO yote na ile soda ikamwagika.. Aaarghh!!😬😬.. kuja kukaa sawa tayari yule mdada kashafuta meza na kusafisha pale chini huku akidai chake......
Picha tu inanitoa udenda, mdudu ana raha yake asiwadanye mtu.Didiz masaki[emoji39][emoji39]View attachment 2163120
Hatari sana mkuuPicha tu inanitoa udenda, mdudu ana raha yake asiwadanye mtu.