Kitimoto ya siku hizi hainukii kwa nini?

Kitimoto ya siku hizi hainukii kwa nini?

vulturine fowl

Senior Member
Joined
Jan 13, 2022
Posts
168
Reaction score
173
Zamani nilikuwa nakula kitimoto inanukia Sana enzo hizi tunadrop toka Minaki to Pugu kajiungeni vasco dagama kulikuwa na kitimoto swafi.

Sana now dayz nakula nabadilisha viwanja lakin sioni ladha na harufu adhimu ya mboga ya kitimoto why ??wadau au madawa ????
 
Kuna vikata shombo vinatumika ili na wale wenzetu wa dini ile watumie wasisumbuliwe na harufu yake. Pia kuna nguruwe wa kisasa kama walivyo kuku broiler.

Nguruwe wa kisasa wapo sokoni, hata mchele halisi uliokuwa ukinukia umepotea, siku hizi hata ukipikia wali chumbani sebureni hawezi jua kama wali unapikwa maana hakuna harufu kabisa.

Mambo ya utandawazi yanatumaliza sana
 
Itanukiaje wakati unachoma sindano yakumkuza hukuchoma yakunukia zote zilitakiwa zichomwe kwapamoja
 
Zamani nilkuwa nakula kitimoto inanukia Sana enzo hizi tunadrop toka minaki to pugu kajiungeni vasco dagama kulikuwa na kitimoto swafi Sana now dayz nakula nabadilisha viwanja lakin sioni ladha na harufu adhimu ya mboga ya kitimoto why ??wadau au madawa ????
Nlidhani hii nimei-note peke yangu. Yaan jana tu nlikua sehemu nikamtuma dem fln alete kitimoto. Huwezi amini yaan imefika tu ile nafungua ikabidi nimuulize hii ni nyama ya nguruwe au ya ng'ombe. Yaan hainukii kabisa kama nlivyozoea. Mzuka wa kula kitimoto upo kwenye harufu yake ile
 
Kuna vikata shombo vinatumika ili na wale wenzetu wa dini ile watumie wasisumbuliwe na harufu yake. Pia kuna nguruwe wa kisasa kama walivyo kuku broiler.

Nguruwe wa kisasa wapo sokoni, hata mchele halisi uliokuwa ukinukia umepotea, siku hizi hata ukipikia wali chumbani sebureni hawezi jua kama wali unapikwa maana hakuna harufu kabisa.

Mambo ya utandawazi yanatumaliza sana
Mchele wa plastic.
 
Labda madawa wanayotumia wafugaji yanaondoa uhalisia
 
kitimoto achomwe na mafuta yake ndo utapata harufu. na hiyo kuwekwa kwenye mabarafu muda mrefu inapoteza ladha na harufu. ukiipata fresh ushushie na kichuri chake ni harufu siku nzima
 
Zamani nilikuwa nakula kitimoto inanukia Sana enzo hizi tunadrop toka Minaki to Pugu kajiungeni vasco dagama kulikuwa na kitimoto swafi.

Sana now dayz nakula nabadilisha viwanja lakin sioni ladha na harufu adhimu ya mboga ya kitimoto why ??wadau au madawa ????
Viungo vinawekwa sana pia
 
Back
Top Bottom