Kitimoto ya siku hizi hainukii kwa nini?

Zamani nilikuwa nakula kitimoto inanukia Sana enzo hizi tunadrop toka Minaki to Pugu kajiungeni vasco dagama kulikuwa na kitimoto swafi.

Sana now dayz nakula nabadilisha viwanja lakin sioni ladha na harufu adhimu ya mboga ya kitimoto why ??wadau au madawa ????
Usikute mkuu sense yako ya ku-smell inatoweka mdogo mdogo, hebu wahi kwa Daktari!!!
 
Kwa ujumla siku hizi hatuli vitu vya asili kabisa,Mfano ndizi mbivu kipindi Cha nyuma zilikuwa zanukia hata zikiwa kwa jirani.Lakini kwa Sasa ndizi mbivu hata zikiwa chumba Cha pili ndani ya nyumba moja hazinukii.
 
Zamani nilikuwa nakula kitimoto inanukia Sana enzo hizi tunadrop toka Minaki to Pugu kajiungeni vasco dagama kulikuwa na kitimoto swafi.

Sana now dayz nakula nabadilisha viwanja lakin sioni ladha na harufu adhimu ya mboga ya kitimoto why ??wadau au madawa ????
Nenda Joy Es Lava Goba agiza choma, halafu urudi uje usimulie hapa
 
Back
Top Bottom