vulturine fowl
Senior Member
- Jan 13, 2022
- 168
- 173
Hivi mkuu kitimoto ya riverside bei gani kwa kila kilo1?Kuna Kitimoto mdudu na Kitimoto ya riverside, unaongelea ipi?
Naomba nikusahihishe hapo. Kitimoto sio mboga, bali ni chakula kinachojitegemea. Ipe heshima yake tafadhali.mboga ya kitimoto
Nlidhani hii nimei-note peke yangu. Yaan jana tu nlikua sehemu nikamtuma dem fln alete kitimoto. Huwezi amini yaan imefika tu ile nafungua ikabidi nimuulize hii ni nyama ya nguruwe au ya ng'ombe. Yaan hainukii kabisa kama nlivyozoea. Mzuka wa kula kitimoto upo kwenye harufu yake ileZamani nilkuwa nakula kitimoto inanukia Sana enzo hizi tunadrop toka minaki to pugu kajiungeni vasco dagama kulikuwa na kitimoto swafi Sana now dayz nakula nabadilisha viwanja lakin sioni ladha na harufu adhimu ya mboga ya kitimoto why ??wadau au madawa ????
Ya kweli hayo?Nasikia ukichoma j&j pua zaacha kunusa mkuu
Serious mkuu,na nguvu za kiume piaYa kweli hayo?
Inategemea unataka ya baridi au yamotoHivi mkuu kitimoto ya riverside bei gani kwa kila kilo1?
Yaani anataka fananisha kitimoto na kabeji.Naomba nikusahihishe hapo. Kitimoto sio mboga, bali ni chakula kinachojitegemea. Ipe heshima yake tafadhali.
Si ndio hapo sasa ushangae na wewe?Yaani anataka fananisha kitimoto na kabeji.
Unaanzaje kula vitu baridi? Inatakiwa ya moto iliyonona vizuriInategemea unataka ya baridi au yamoto
Mchele wa plastic.Kuna vikata shombo vinatumika ili na wale wenzetu wa dini ile watumie wasisumbuliwe na harufu yake. Pia kuna nguruwe wa kisasa kama walivyo kuku broiler.
Nguruwe wa kisasa wapo sokoni, hata mchele halisi uliokuwa ukinukia umepotea, siku hizi hata ukipikia wali chumbani sebureni hawezi jua kama wali unapikwa maana hakuna harufu kabisa.
Mambo ya utandawazi yanatumaliza sana
Viungo vinawekwa sana piaZamani nilikuwa nakula kitimoto inanukia Sana enzo hizi tunadrop toka Minaki to Pugu kajiungeni vasco dagama kulikuwa na kitimoto swafi.
Sana now dayz nakula nabadilisha viwanja lakin sioni ladha na harufu adhimu ya mboga ya kitimoto why ??wadau au madawa ????