Kitimoto ya siku hizi hainukii kwa nini?

Usikute mkuu sense yako ya ku-smell inatoweka mdogo mdogo, hebu wahi kwa Daktari!!!
 
Kwa ujumla siku hizi hatuli vitu vya asili kabisa,Mfano ndizi mbivu kipindi Cha nyuma zilikuwa zanukia hata zikiwa kwa jirani.Lakini kwa Sasa ndizi mbivu hata zikiwa chumba Cha pili ndani ya nyumba moja hazinukii.
 
Nenda Joy Es Lava Goba agiza choma, halafu urudi uje usimulie hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…