Kitimoto ya sikuhizi nani kairoga? Harufu yake imepotelea wapi?

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
2,621
Reaction score
10,466
Aisee msema ukweli mpenzi wa Mungu, utamu wa kitimoto harufu ile.

Sasa siku hizi unakula kitimoto ila ni kama nyama ya ng'ombe tu.

Kipindi sie tunakua, miaka hiyooo, mzee basi akirudi na kitimoto nyumbani ile harufu tu inatosha kuwaamsha na kuwafanya mkae ubalazani kusubiri muitwe mtoe vyombe angalau ule vile vipisi vinavyobaki.

Kitimoto ya sikuhizi haina kabisa ile harufu yake original, wote mnaohusika na hili mnatufedhehesha sana sie wadau wa huyu mbuzi mkatoliki.

Nimemaliza.
 
Siku hizi nguruwe wanafugwa ndani ya banda mwanzo mwisho. Wanakula chakula cha aina Moja tuuu au wakipedelewa aina mbili tatu. Harufu na utamu utoke wapi?
Zamani nguruwe linazunguka linakula kila kitu mtaani mpaka nyama yake inakuwa na utamu wa kila namna!
 
Ila kuna mjamaa aliniambia, kadri umri unavyokuwa mkubwa ule uwezo wa mwili ku sense harufu na ladha unapotea.
 
Hii itakua kweli, na ukiangalia haya madawa na masindano ya kukuza wanayotumia, yanachangia sana kupoteza natural flavor
 
Ila kuna mjamaa aliniambia, kadri umri unavyokuwa mkubwa ule uwezo wa mwili ku sense harufu na ladha unapotea.
Mhhhh... kama nimefika huko basi nisingekua natumia hata JF, ningekua kizee cha kutisha. Na sio mm pekee, kuna wadau wangu wengi tu wanasemaga kuhusu hilo
 

Madawa ya viwandani wanayotibia hao wadudu
 
Wazungu haya mambo hawali, niliwahi kuona restaurant moja kwenye TV ipo New York, wale jamaa wameinvest kwa kondoo wanaokuzwa naturally na nyama zao wakichinjwa zinatunzwa kabisa na kuuzwa kwa order maalum. Sasa nadhan kuna ambao watakua wanafanya hivyo hata kwa pork na nyama nyingine
 
Uongo fanya utafiti vizuri
 


Ni Ile harufu ya bandani kwake??🤣
 
Kula kitimoto ni dhambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…