KITLYA: Free Market Spirit Should Start at Home with Zanzibar before Kenya, Uganda, Burundi etc

Mtumbatu

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
363
Reaction score
171
Tanzania Revenue Authority commissioner general Harry Kitilya at midweek called a news conference in his office to explain why the tax collectors put levy a surcharge on goods originating from Zanzibar, where his explanations left some areas unresolved.

The basic explanation the commissioner general gave was that taxation on imports was low in Zanzibar, which is there was an additional charge imposed on goods entering from Zanzibar on account of the low taxes there.

It is arithmetically correct but it also illustrates why Tanzania is a negative, bad place to do business, and evidence why taxation is a ‘no growth' panacea.

The motto of the revenue authority as well as the government generally is that taxation is the gateway to development, which is faulty, because taxation merely helps the government meet its commitments to society, for instance, in providing public services such as education and health.

But the TRA and its ministerial experts at Treasury have failed to wake up to the reality that development arises from initiatives from each and every individual to save and initiate something, and hopefully employ someone else, and all of them earn their living from that activity.

In that case taxation has to facilitate individual initiative, not to compete with it and suffocate it, as if taxation was really the anchor of improved life conditions socially.

That is why growth models focus on low taxation, while socialistic and distributive ethics of all hues seek to tax to their best, and in due course reduce the population to labourers of the government, as was the case in Stalinist Russia, Maoist China and at present, the Kim gulag in North Korea.

Tanzania did nt go through the same experience but plenty of hardships were experienced by the population as the first phase government throttled marketing cooperatives for state entities, sought to control grain supply and ended up with shameful shortages in all areas.

After trade wasliberalized, socialism shifted to controlling the commanding heights of economy, and imposing punitive taxation on the private sector.

The commissioner general isn't capable of gauging what is happening in ordinary levels of society – it is unlikely, as it requires attachment to poor families and watching how their fortunes in life have shifted with the two decades of Mr Kitilya and his colleagues at TRA have ruled supreme over their lives.

Lately, the president told a May Day rally that taxation on wages and salaries would be reduced – the mainstay of TRA collections, where an individual paying Tsh35,000 in monthly taxes suddenly started paying Tsh100,000 when the TRA was set up in 1996.

Individual incomes started climbing down; while traders and others could at least reset their prices -- unlike employees -- but even their goods now sell less due to taxation.

With the rise of the East African Community, clearing barriers to free trade is taking time due to the need for effective taxation to TRA levels, thus insisting on keeping the surcharge on Zanzibar, despite the fact that Zanzibar is part of EAC and would have identical import tariffs.

This much wasn't quite elucidated at least in the press reports, but it shows this huge weakness of failing to accept the level of taxation that Zanzibar feels necessary, an extra cost arising from transportation, which Mainland traders would not have.

That level of advantage is supposed to be adequate, but local traders have constantly complained of the ‘Zanzibar route' because they want to set monopoly prices (as just a few traders sell one or two types of goods, e.g. khangas) and top TRA officials are eager to cooperate in their schemes.

Only in this manner can Tanzania grow up as an economy, capable of competition, igniting lower prices.


SOURCE: THE GUARDIAN
 

Uamuzi wako Bw. kamishna hauna tija kwa tanzania zaidi ya kuongeza kero za Muungano na kuwafanya wapemba wazidi kutupigia kelele za Muungano msaidie JK kwa kuwa fair na kutelekeleza vilizyo spirit ya free market economy katika EAC block, unadhani wakenya, awaganda, waburundi na wanyarwanda watatuelewa vipi katika azma ya kutengeneza soko huru la uchumi kwa EAC block wakati hao tunaowaita ndugu zetu tuna wascrew. ba fair to yourself mikilaza wa uchumi wetu na kodi za watanzania.
 

Kitilya hana uwezo nalo hilo...ni policy makers hili ni moja ya tatizo la muungano

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mtumbatu,

..Znz ni nchi kama ilivyo Kenya, Uganda, etc.

..sasa kwanini mnataka kuingiza bidhaa Tanganyika bila kulipa ushuru?

..tena nyinyi mnapendelewa kwa kulipa tofauti ya ushuru kati ya Tanganyika na Zanzibar.

..mlitakiwa mlipe kodi nzima kama majirani zetu wengine wanavyolipa.

..halafu hicho kinacholipwa Znz hakiingii kabisa katika fungu la muungano, lakini baada ya hapo mnakuja huku Tanganyika na kudai mpewe 10%[ile 4.5 mnadai ndogo] ya mapato ya muungano[technically n practically mapato ya Tanganyika].

..waZNZ TUACHENI WATANGANYIKA TUPUMUE. KAMA HAMUWEZI KUISHI CHINI YA KERO ZA MUUNGANO JIKATENI.TAYARI MNAYO SERIKALI YENU, PAMOJA NA BUNGE. NINI KINAWAZUIA KUJITOA KTK MUUNGANO??


cc: chabuso, Barubaru, Nguruvi3, Nonda
 
Last edited by a moderator:

Huo ndio unaitwa wizi mlitakia nini kuiyeyusha Tanganyika ndani ya Muungano and u can't take the heat, milidhani mmepata kuiyeyusha tanganyika ndani ya Muungano, mmepatwa maaana sasa hamna identity, itakapokuja katiba mpya. Hatuwezi kutoka katika Muungano kama unavyotaka, ni kazi pevu na don't push ur luck, ujue kuna mgawanyo wa mali na madeni katika hicho unachikitaka na kwa Tangnyika ilivyoizulumu Zanzibar tukiweka mshauri elekezi juu ya mgawanyo wa mali na madeni, hiyo unayoiita Tanganyika itadaiwa mpaka kiama. na hamna cha kulipa alternative itabidi tuwageuze watumwa.
 
Kitilya hana uwezo nalo hilo...ni policy makers hili ni moja ya tatizo la muungano

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Wewe mtazamo wako finyu kweli,njoo Zanzibar uone makusanyo yote yanaingia BOT katika account ya TRA,si yalikua yaingie kwenye benk yetu ya kizalendo PBZ.
 
Mtumbatu,

..R u serious??!!

..wa-Znz mnataka kugawana madeni na wa-Tgk!!

..haya ya ndani tu ya TANESCO yanawashinda kulipa mnataka kujaribu ya IMF na WB??

..sasa hivi madeni yenu ya nje ni sisi ndiyo tunawadhamini, na mki-defaul tunalipa sisi.

..unazungumzia, UTUMWA?? hivi wa-Znz mtufanye watumwa mara ngapi? hii dhuluma ya muungano na mateso yake kwa wa-Tanganyika u still have something in store?? kweli wa-Znz kiboko.
GHIBUU, Nguruvi3, Nonda,
 
Last edited by a moderator:
JokaKuu, mambo yakibana wanasema spirit ya EAC. To hell!
Mafuta wamekimbilia kusema si ya muungano, nansikia Tanganyika inazidi kupata visima hizo kelele zimekufa.

Wanachotaka wao ni kuingiza bidhaa zao kupitia Zanzibar, mapatao yawe yao kwa soko la bure la Tanganyika.
Tumewaeleza siku nyingi kuwa hakuna Zanzibar yenye ustawi bila Tanganyika.

Serikali ya Tanganyika ikirudi maana yake ni kuwa itahitaji mapato, hapo hakuna jinsi ni kodi tu.
Wanataka wawe nchi kamili, hawataki kulipia gharama za ulinzi na usalama, hawataki kutafuta masoko.
Huwezi kuwa nchi kamili ukiwa katika mbeleko ya Tanganyika.

Mna hiari,
mbaki chini ya usimamizi wa Tanganyika
Muondoke mkawe nchi huru.

Hakuna muda wa upuuzi wa spirit of EAC. Hiyo spirit tutaipata Arusha kwa kila mwanachama.

Tumewaambia siku nyingi, ZNZ haina ubavu ni watulie tu. Sasa hivi tunakaza kamba hadi mtakapojisalimisha!
Ninyi hamna namna ni kujisalimisha au kuishi kwa maumivu, hakuna spirit ya EAC. Huo upuuzi abaki nao Seif na Mkataba
 
Tukiweka madeni mezani, Zanzibar itakuwa sehemu ya Mkuranga.

Hawa watu hawajui gharama za ulinzi tangu mwaka 1964, hawajui gharama za elimu tangu mwaka 1964, serikali yao sasa ni mwaka wa 20 inaendeshwa kwa kodi za Mtanganyika. Sijui nani anawafundisha wazanzibar huu upuuzi.

Bajeti yao ni ya Tanganyika, wao wana mapato ya 120 Bilion, bajeti ni 630Bilioni kwa maneno mengi Tanganyika ina uwezo wa kulipia bajeti ya Zanzibar kwa miaka 10( 1.2 trillion) ambazo ni sawa na bajeti ya ulinzi ya mwaka 1 ya Tanganyika.

Hawa watu wanamawazo ya ajabu sana, wangelijua kuwa ZN ni kama katarafa wasingeweza kuja kuandika chochote mitandaoni. Kilimanjaro mkoa mdogo sana Tanganyika una uchumi mkubwa, watu wengi na kila kitu kuzidi Zanzibar.
Bado kuna mahayawani wanadai eti mali na mgawanyo. Umeme hawalipi wataweza gharama za ulinzi na usalam.

Hawa hawana ujanja ni kukaza kamba watajisalimisha, kama hawataki waanze hakuna anyewahitaji.

Kwenuye suala la muungano. Tanganyika ndio iseme ninyi mkae kimya. Sisi ndio wenye muungano kwasababu tunalipia muungano. Ninyi mliobebwa kwa shuka mgongoni tulieni mkilete fujo tutawatua.

Tunakaza kamba!
 

Kwa taarifa yako wazanzibari hawajashindwa kulipa deni la Tanesco tunacho argue ni formula iliotumika kufika kiwango hicho cha deni na mpaka leo hakuna aliyetujibu wala mwenye uwezo wa kutoa ufafanuzi, kwa sababu ni wizi mtupu. na kama hakuna ufafanuzi wa kisayansi ni vipi mmefikia hiyo figure hatulipi, and there is no short cut, mikilazimisha tutaliwasilisha suala hili The Hague you will speak to our solicitors.
 

Huu ndio ukilaza wa watangayika ulipo na maisha hamtaamka nyinyi kwa kasumba kama hizi, kama unazungumzia udogo wa eneo basi kusingekuwa na haya UN kupitisha azimio na nchi zote kuungana kupigana na Iraq wakati Kuwait ni ndogo kuliko tarafa ya Mkuranga na ni juzi tu JK amekwenda kuhemea Kuwait nchi ndogo kuliko tarafa ya Mkuranga. resources walizonazo Kuwait (Mafuta) na zanzibar tunazo, and it will be easy for us to flourish as against u Tannganyika kwa sababu tuko less than a million in pupolation minus watanganyika walioka Zanzibar. Jenga hoja udogo au ukubwa si hoja.
 
Mnasubiri nini? Ondokeni hata usiku wa leo!! Tumeshasema hatuihitaji ZNZ kwa namna yoyote. Kiuchumi, kiuslama, kijiografia kibiashsara, kiutamaduni n.k. hakuna kitu mtu atanufaika kwa kuwa na ZNZ karibu.

Ondokeni hata leo jioni.
 

..kama ni wizi ni sisi wa-Tanganyika ndiyo tunaibiwa na Tanesco.

..kama huna taarifa, wa-Tanganyika wananunua umeme kwa bei kubwa kuliko wa-Zanzibari, kisa wenzetu mna midomo mikubwa ya kulalamika.

..sasa pamoja na nyinyi kutumia umeme kwa bei ya karibu na bure ukilinganisha na wa-Tanganyika, bado serikali na shirika lenu la umeme hawataki kulipa madeni yao Tanesco. ndiyo maana wengine tukasema MUUNGANO ni sawa na UTUMWA kwa wa-Tanganyika.

. Nguruvi3 amekuuliza kwanini hamjitoi katika muungano wakati mna Raisi, serikali, bunge, pamoja na MAFUTA?? hebu tueleze nini mnachokisubiri??
 
Last edited by a moderator:

Kama unahisi kuwa unadhulumiwa una haki kabisa kujitoa na SIO KAMA MLIVYO SASA MNAAPA KUWA MTAULINDA MUUNGANO KWA GHARAMA ZOZOTE ZILE.

Pasi na shaka kuna manufaa makubwa mnayapata kutoka Znz lakin mnachelea kuyasema na mnaona mkivunja mvungano ndio kuumbuka kwenu.

poleni sana.
cc: chabuso, Barubaru, Nguruvi3, Nonda

 
Mnasubiri nini? Ondokeni hata usiku wa leo!! Tumeshasema hatuihitaji ZNZ kwa namna yoyote. Kiuchumi, kiuslama, kijiografia kibiashsara, kiutamaduni n.k. hakuna kitu mtu atanufaika kwa kuwa na ZNZ karibu.

Ondokeni hata leo jioni.


Kwanini Tanganyika haitaki kujitoa kwanza katika muungano? kwanini mnalalamika kuwa mnadhulumiwa na Znz?

Acheni unafiki milango ipo wazi kwa Tanganyika kuvunja muungano mnaojitolea kuulinda kwa nguvu zenu zote. je kuna siri gani?

Let Tangannyika GO, muone Znz itakavyo pepea.
 
Huu ni mwaka wa tatu JF tunajadili muungano kwa nguvu na uwazi hata kabla ya mambo ya katiba mpya. Hakuna Mzanzibar aliyeweza kusimama na kusema wapi wananyonywa.

Kinyume chake wapo akina Shein, Vuai ambao wameeleza wazi kuwa Zanzibar ndani ya muungano inanufaika.
Sasa kama wazanzibar wananufaika wakae kimya maana mdomo utawatokea puani.

Tanganyika haitakubali tena kuibeba Zanzibar katika mambo yaliyopo.
Hakuna cha spirit of EAC wala nini.Zanzibar itabaki kuwa ndani ya kivuli cha Tanganyika au njia ya bandarini nyeupee.

Miaka nenda rudi mumekuwa mnalalamika mnanyonywa. Ali Salehe ndiyo msemaji kwa kupitia BBC. Leo kakaa kimya hataki Zanzibar huru anataka muungano.

Rasimu ya hiyo katiba ikitoka, watanganyika watapitia kfungu kimoja baada ya kingine.
-Kama hakuna Mtanganyika anayeruhusiwa kumiliki ardhi ZNZ basi kisu kitakata upande wa pili.
-Tanganyika itauliza kwanini ilipie mzn umeme akiwa amelala
-Kwanini ilipie mtoto wa nchi jirani gharama za elimu
-Kwanini wzn wapewe ajira wabara wasipewe huko kwao
-Kwanini Tanganyika ilipie gharama za ulinzi wa znz
-Kwanini Tanganyika iachie bidhaa za znz ziingie bure bara na kukosa mapato
-Kama ZNZ ina bandari huru nini kinazuia Tanga au Dar es Salaam kufanya utaratibu huo
-Kwanini Mtanganyika abebe gharama za mshahara wa serikali ya nchi nyingine
-Kwanini mlipa kodi wa Tanganyika alipe mafao ya wastaafu wa zanzibar
-Kwanini Mtanganyika afidie upungufu wa bajeti ya mzanzibar

Nasikia eti kuna suala la kupokezana urais wa muungano. Watanganyika watakuwa majuha wakikubali hilo.
Haiwezekani Mtanganyika alipe gharama 100% za muungano halafu aletewe rais kutoka nchi jirani.
Kama kuna kupokezana basi bill zote ziweke mezani na hapo hakuna cha uchache au udogo.

Amir Jeshi ni Amir jeshi tu, sasa kama anatoka Zanzibar tutauliza katika majeshi znz wanachangia shs elfu ngapi!!

Kwakweli mdomo una gharama sana, haya yote Watanganyika walikuwa hawayajui wamezinduliwa na wanzibar.
Hakuna Mtanganyika aliyekuwa anafahamu kuwa wakati analipa umeme ndani ya bill yake kuna malipo ya waznz!

Hakuna ujanja this time around. Mbaki katika kivuli cha Tanganyika njema au muelekee bandarini mrejee nchi ya ahadi. Mdomo umeponza kichwa!
 

Nguruvi3.

Tujaalie ulichosema ni TRUE kabisa na hilo lineanyesha wazi Znz inawadhulumu au Tanganyika inaibeba Znz. Sasa kwanini mng'ang'ania KUULINDA na KUUTETEA MVUNGANO HUO KWA NGUVU zote wakti mnadhulimiwa? Je huoni kuna namna hapo?

Inawezekana vipi mtu mwenye akili timamu kabisa kuiacha nchi yake watu wakufa njaa kule Shinyanga, Mara, Singida huku akijikita kutoa au kuilisha nchi jirani ya Znz. Je hiyo ni akili kweli?

Znz wametumia juhudu nyingi sana kutaka Tanganyika nanyi muwe na Serikali yenu ya Tanganyikairani kupitia kwa Rais wa Znz Aboud Jumbe lakin JKN alikataa kuundwa kwa Taifa la Tanganyika. Je kunani hapo?

Na hata G57 ilipoleta tashtiti ya kuundwa kwa Taifa hilo la Tanganyika JKN alikataa kwa nguvu zote . Je kuna siri gani hapo?

Nafikiri sasa ni kipindi muafaka kwanza anzisheni Serikali ya Tanganyika kisha mvungano wenu utakufa kifo cha mende.

Mnachelea nini kudai utaifa wenu wa Tanganyika uliomezwa na Tanzania. Je muna akili nyie.


Kuna mengi sana ya kuona kwa waTanganyika wengi ni waoga sana wa kujitegemea peke yenu nje ya Znz na hilo wengi mnalijua ila mnafunika kombe mwanaharamu apite.

Pole sana

cc: chabuso, Barubaru, Nguruvi3, Nonda,mzee mwanakijiji, mag3
, mwanakijiji, mag3


 
Barubaru, mazingira na nyakati zinabadilika. Sababu za Berlin na Born kutenganishwa hatimaye ziliondoka na sasa ni Germany. Sababu za kuwa na Yugoslavia ziliondoka na sasa ni nchi nyingi

Kwa hakika Tanganyika haihitaji Zanzibar kwasababu nafasi ya ZNZ kujitoa imetolewa.
Guess what, wazanzibar wanataka muungano, that's a message

Ushahidi ni kuwa Maalim Seif Sharif Hamad kinara wa znz huru kakimbia Karimjee na kuchukua kitambulisho cha Jamhuri ya watu wa Tanganyika. Ni watu wa Tanganyika a.k.a Tanzania kwasababu jina linatetewa na Tanganyika.
Kwahiyo seif ni Mtanganyika na sasa ataendelea na miradi yake bila bughdha.

Nimekupa mfano wa Ali Salehe wa BBC, mbona ametulia kimya.

Kama kuna political reasons siyo reasons za Watanganyika.
Labda nikuulize znz wanaosema wananyonywa na kujiita koloni la Tanganyika wanasubiri nini?

Kwanini ZNZ inataka muungano wa mkataba, serikali 3 na si kujiondoa kabisa.

Maalim amelalamika kusikia kuwa tume imependekeza serikali 3. Anajua kuwa serikali 3 ndio mwisho wa utegemezi.
Kila serikali itakuwa na mamlaka yake na hakuna atakayekuwa tayari kubeba mzigo wa misumari.

Hapa tulipo, narudia sana znz HAWANA ujanja wanaitaka Tanganyika kwa lazima kwa hiari.
Haiwezi kusimama salama nje ya Tanganyika kwasababu ipo chini ya kivuli cha Tanganyika.
Kwani siku hizi unasikia kidomo domo tena!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…