Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio tunachotaka Nchi huru, zanzibar huru, huo muungano sio lazima, ujirani unatosha, kwani anae ng'ang'ania muungano ni nani ? kama sio nyinyi watanganyika ni nani ? Sisi zanzibar tunayo, nyinyi mumeng'ang'ania na jamuhuri ya muungano wa tanzania, tafuteni yenu jamuhuri lakini sio ya muugano .JokaKuu, mambo yakibana wanasema spirit ya EAC. To hell!
Mafuta wamekimbilia kusema si ya muungano, nansikia Tanganyika inazidi kupata visima hizo kelele zimekufa.
Wanachotaka wao ni kuingiza bidhaa zao kupitia Zanzibar, mapatao yawe yao kwa soko la bure la Tanganyika.
Tumewaeleza siku nyingi kuwa hakuna Zanzibar yenye ustawi bila Tanganyika.
Serikali ya Tanganyika ikirudi maana yake ni kuwa itahitaji mapato, hapo hakuna jinsi ni kodi tu.
Wanataka wawe nchi kamili, hawataki kulipia gharama za ulinzi na usalama, hawataki kutafuta masoko.
Huwezi kuwa nchi kamili ukiwa katika mbeleko ya Tanganyika.
Mna hiari,
mbaki chini ya usimamizi wa Tanganyika
Muondoke mkawe nchi huru.
Hakuna muda wa upuuzi wa spirit of EAC. Hiyo spirit tutaipata Arusha kwa kila mwanachama.
Tumewaambia siku nyingi, ZNZ haina ubavu ni watulie tu. Sasa hivi tunakaza kamba hadi mtakapojisalimisha!
Ninyi hamna namna ni kujisalimisha au kuishi kwa maumivu, hakuna spirit ya EAC. Huo upuuzi abaki nao Seif na Mkataba
GHIBUU,Ndio tunachotaka Nchi huru, zanzibar huru, huo muungano sio lazima, ujirani unatosha, kwani anae ng'ang'ania muungano ni nani ? kama sio nyinyi watanganyika ni nani ? Sisi zanzibar tunayo, nyinyi mumeng'ang'ania na jamuhuri ya muungano wa tanzania, tafuteni yenu jamuhuri lakini sio ya muugano .
Tunachotaka mutupe zanzibar huru , turudishieni kiti chetu cha UN.
Kila mznz akisikia muungano unavunjika hofu tupu.GHIBUU,
..dont worry about Tanganyika.
..Znz mnao uwezo wa kusema kuanzia leo muungano mwisho.
..tatizo ninaloliona ni kwamba kuna kauoga fulani hivi kwa upande wa Znz.
..wakati mnadai hamtaki muungano, bado mnaendelea kushiriki ktk mambo yanayouimarisha muungano huo. kwa mfano, kwanini mmeamua kuchukua vitambulisho vya uraia wa Tanzania?? Kwanini mmekubali kushiriki kwenye tume ya katiba mpya ya Tanzania? kwanini mnaendelea kuhudhuria vikao vya bunge? orodha ni ndefu naomba niishie hapo.
Kila mznz akisikia muungano unavunjika hofu tupu.
Maalim keshachukua kitambulisho cha Tanganyika, hawa kina Ghibuu sijui wansubiri nini.
Woga umewajaa sana siku hizi hata kuongelea muungano wanaona adha.
Mbona kosa hilo mnataka kulirudia tena?Mimi sina hofu yoyote, nataka uvunje hata leo hii tupumuee, Ilala nina nyumba yangu yenye samani isio pungua milioni 800 shilingi, nina shamba kisarawe heka 8, sina hofu yoyote ya muungano huu, niko tayari kuwa kama mgeni wa kizungu, lakini muungano uvunjike, siko tayari kuuza uraia wangu hata siku moja, ni kosa kubwa sana wazee wetu walifanya kuuiyuza zanzibar kwa bei ya bure kwa nyerere. Tupumuee
Mbona kosa hilo mnataka kulirudia tena?
Muungano wa mkataba ni kosa kama la awali. Mwambie Seif aachane nao.
Umesoma habari za leo?
Wazanzibar wanataka kila kitu kiondolewe katika muungano isipokuwa Ulinzi na usalama. Kwamba wanahitaji jeshi la kuwalinda. Nchi huru lazima iwe na jeshi lake, mkishakuwa na jeshi la Tanganyika, Amir jeshi ni Mtanganyika rais wa znz ni gavana. Je hamjauza uhuru kama wazee wenu.
Jeshi la muungano litagharamiwa na nani?Nazani hujafahamu suala la ulinzi vipi litakuwa, kuna jeshi la UN ambalo ni waafrica wako ndani ya nchi za africa hata tanzania wako UN, na suala la ulizi wa tanzania zanzibar itakuwa na jeshi lake ,tanganyika lake na tutakuwa na jeshi la tanzania la muungano
Jeshi la muungano litagharamiwa na nani?