KITLYA: Free Market Spirit Should Start at Home with Zanzibar before Kenya, Uganda, Burundi etc

Znz wametoa mafuta na gesi katika masuala ya muungano na sie tanganyika tunasubiri nini kutoa ardhi katika mambo ya muungano! Maana hawa jamaa wamejaa wanatumia rasilimali yetu hii bure lakin mafuta yao hawataki dah jamaa wachoyo hawa!!
 
Ndio tunachotaka Nchi huru, zanzibar huru, huo muungano sio lazima, ujirani unatosha, kwani anae ng'ang'ania muungano ni nani ? kama sio nyinyi watanganyika ni nani ? Sisi zanzibar tunayo, nyinyi mumeng'ang'ania na jamuhuri ya muungano wa tanzania, tafuteni yenu jamuhuri lakini sio ya muugano .

Tunachotaka mutupe zanzibar huru , turudishieni kiti chetu cha UN.
 
GHIBUU,

..dont worry about Tanganyika.

..Znz mnao uwezo wa kusema kuanzia leo muungano mwisho.

..tatizo ninaloliona ni kwamba kuna kauoga fulani hivi kwa upande wa Znz.

..wakati mnadai hamtaki muungano, bado mnaendelea kushiriki ktk mambo yanayouimarisha muungano huo. kwa mfano, kwanini mmeamua kuchukua vitambulisho vya uraia wa Tanzania?? Kwanini mmekubali kushiriki kwenye tume ya katiba mpya ya Tanzania? kwanini mnaendelea kuhudhuria vikao vya bunge? orodha ni ndefu naomba niishie hapo.
 
Last edited by a moderator:
Kila mznz akisikia muungano unavunjika hofu tupu.
Maalim keshachukua kitambulisho cha Tanganyika, hawa kina Ghibuu sijui wansubiri nini.

Woga umewajaa sana siku hizi hata kuongelea muungano wanaona adha.
 
Mimi sina hofu yoyote, nataka uvunje hata leo hii tupumuee, Ilala nina nyumba yangu yenye samani isio pungua milioni 800 shilingi, nina shamba kisarawe heka 8, sina hofu yoyote ya muungano huu, niko tayari kuwa kama mgeni wa kizungu, lakini muungano uvunjike, siko tayari kuuza uraia wangu hata siku moja, ni kosa kubwa sana wazee wetu walifanya kuuiyuza zanzibar kwa bei ya bure kwa nyerere. Tupumuee
Kila mznz akisikia muungano unavunjika hofu tupu.
Maalim keshachukua kitambulisho cha Tanganyika, hawa kina Ghibuu sijui wansubiri nini.

Woga umewajaa sana siku hizi hata kuongelea muungano wanaona adha.
 
Mbona kosa hilo mnataka kulirudia tena?

Muungano wa mkataba ni kosa kama la awali. Mwambie Seif aachane nao.

Umesoma habari za leo?
Wazanzibar wanataka kila kitu kiondolewe katika muungano isipokuwa Ulinzi na usalama. Kwamba wanahitaji jeshi la kuwalinda. Nchi huru lazima iwe na jeshi lake, mkishakuwa na jeshi la Tanganyika, Amir jeshi ni Mtanganyika rais wa znz ni gavana. Je hamjauza uhuru kama wazee wenu.
 
Nazani hujafahamu suala la ulinzi vipi litakuwa, kuna jeshi la UN ambalo ni waafrica wako ndani ya nchi za africa hata tanzania wako UN, na suala la ulizi wa tanzania zanzibar itakuwa na jeshi lake ,tanganyika lake na tutakuwa na jeshi la tanzania la muungano
 
Jeshi la muungano litagharamiwa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…