Kitoabu yupo wapi?

Kitoabu yupo wapi?

Restless Hustler

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
5,150
Reaction score
20,025
Nimemkumbuka mwamba mmoja na mwana JF mwenzetu, Kitoabu aliyetuburusisha kwa stori zake za Mikasa aliyokutananayo katika uchimbaji madini nchini Mozambique.

Yeyote Mwenye taarifa zake tafadhali atujuze kama au kama Ni yeye mwenyewe atujuze Kama Yupo na sisi. Ukimya wake wa muda mrefu Ni wasiwasi kwetu.

Karibuni
 
Back
Top Bottom