Kitombi mke aliyeoa utacheka mpaka ufe

Kitombi mke aliyeoa utacheka mpaka ufe

Kaka hao Wazuri usemao wewe usithubutu kuoa, ama laa utaishi kama digidigi. Kazini utaiba ili umridhishe yeye maana wewe bila pesa hutaweza mtunza. Mwanaume rijali kama huyo rafiki yako hao unaowasema wazuri yeye anapiga na kupita ila natafuta MKE kaoa katulizana nyumbani anamwangalizia mji wake. Huyo ndo mjanja sasa kuishi na baruti nani anataka kila wakati unahofu italipuka.
 
Back
Top Bottom