Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 437
- 867
Hata ww umejizungumzia experience yako, kuwa ukiachwa na buzi unaumia. Kuna wanawake hata hawawazi kuhongwaHapo sasa unajizungumzia wewe na sio mtoa mada. Kuna wanaume wanaota hadi mamilioni seuze laki moja. Akina Hamisa wanahongwa milioni kumi ma ushee huko.
Dunia hii kama huhongi utakuwa unatembea na vichaa
Mkuu ningelikuunga mkono kama ungelaani moja kwa moja uzinzi.Mkuu bora nife masikini ila sio kufanya uzinifu na vibint masikini kwanini ni exploit umasikini wao kwa faida yangu, kwani amna ma singo maza wenye nyota za pesa niendee hao kiliko kuharibu watoto wawenzako walioko under age, kwa kutumia udhaifu wao wa akili na umasikuni.
Akikukuta bikra anakutoa kafara huyuHapa naona kabisa LIKUD umepagawa na mapepo wachafu
Au vipi?Nimejikataza uzinzi mpaka siku akitokea mwanamke anayejihudumia mwenyewe nae anipende mwenyewe kama hatotokea nami uzinzi bye bye na sitanii hivyo vitoto vimenishobokea mpaka sasa wameishia kuniita mjomba na huu ni mwaka wa 15.Msiogope swala la kushobokewa kikawaida mimi ni mtu ninayejipenda kimwili na kimavazi
Nimejikataza uzinzi mpaka siku akitokea mwanamke anayejihudumia mwenyewe nae anipende mwenyewe kama hatotokea nami uzinzi bye bye na sitanii hivyo vitoto vimenishobokea mpaka sasa wameishia kuniita mjomba na huu ni mwaka wa 15.Msiogope swala la kushobokewa kikawaida mimi ni mtu ninayejipenda kimwili na kimavazi.
Wanaume mnapitia mengi sana poleniNjo vile
ee bwana wee mbona hii mada ya LIKUD imekuuma sana, mm nina zaidi ya 50s na hivi vitoto ndio navitaka na navitumia, wale wa .com hadi 1999, siwatakiMr Likud come back to your mind, uko 46yrs old utawezaje kulalala na bint wa miaka 18 ambae kwa mazingira yake angekua form two au form 1, na uka-enjoye sex kweli?? Hiyo ni "Cross generation sex" Γ3. Na lengo lako sio kumsaidia huyu bint but to manipulate her. We ni muislamu gani kweli au mlokole wa aina gani, huna huruma na watoto wa watu unatumia akili na pesa kumrubuni mtoto wa watu wewe unaona ni ujanjanja ila huo ni ukatili mbaya kuliko hata jambazi.
tatizo liko wapi?We mkuu vitoto vyenu vinaliwa na watu wazima we unaangalia vifurushi vya voda njoo ukemee hu ujinga ......[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji7]
Mimi sijawahi kupenda hao watoto, sijawahi na siji kupenda watoto wadogo. Na uzee huu mtoto under 25 hata ikitokea nimemuweka, haimaanishi nampenda.Nikiwa kama mwanamke ninasema binti wa miaka kumi na 8 ni mwanamke ambae anajitambua kabisa ndio maana hata Sheria imeruhusu hivyo. Tena Sheria ya ndoa ya Tanzania inasema mwanamke aolewe kwa ridhaa yake akiwa na miaka15 na kwa ridhaa ya wazazi wake akiwa na miaka 14.
Wala labda utakuwa mnafiki tu wanaume wote duniani wanapendaga wasichana wadogo
NakaziaDah ,Sasa kwanini mashangazi wasikimbilie kwa vijana Kama wazee tuko bize na vinuka maziwa?
Likud naomba laki mdogo wangu .nikopeshe hata.nina nyota hatariπ€£π€£π€£π€£π€£
Ahaaa mbona dogo ulimpa kabla hujamuonja?naomba jamaniMpaka nikuonje kwanza . Nyota yako ikiwa kali utapata mara kumi yake kila wiki. Kwa sababu actually ntakuwa nakupa" hela zako" mwenyeweππππ
πππππee bwana wee mbona hii mada ya LIKUD imekuuma sana, mm nina zaidi ya 50s na hivi vitoto ndio navitaka na navitumia, wale wa .com hadi 1999, siwataki
sio visumbufu na mtaji unampa kabisa, Mama yake unamjazia kibanda, km umeme hawana unawavutia, baadae unasepa zako km ni wife unajirudisha hakakufuati. binti ana miaka 24 unamlinganisha na mtoto
Ww anzisha mada za jao mashangingi wanaotembea kwenye mikoba na condom, vidonge vya ukimwi na wasiozaa tutachangia tukupe uzoefu achana na manungayembe safisha nyota km kina mfalme Suleiman