Nini chanzo, dawa kwa mtoto kuzaliwa na kitovu kikubwaWadau wa afya salam.
Nini chanzo cha mtoto kuwa na kitovu kikubwa kama puto? Na je, mtu akisha kuwa na kitovu hicho, kuna dawa ya kukifanya kiwe kidogo?
Mtu anaweza fanyiwa upasuaji kukiondoa?
Natanguliza shukrani.
Siamini kama ni maumbile, naona kama kuna kitu kimekosewa. Ushauri wenu utasaidia
AksanteNini chanzo, dawa kwa mtoto kuzaliwa na kitovu kikubwa
Mkuu, hizi mambo zilisha wahi kujadiliwa kwa kina sana humu ndani.
Nakushauri upitie hiyo link hapo juu, pengine utapata machache yatakayo kusaidia.
Asante.
Basi na mie ntampeleka, kinaniboa sana.Anafanyiwa oparesheni tu,nilishuhudia Bugando mtoto tena wakike ,kwa Sasa Ni mdada mkubwa ,
HuendaTatizo ni ukataji naliona hili kwa jamii yetu sana
Wakataji ndio tatizo
Hilo puto ukaliuze ila akikua kinapunguaWadau wa afya salam.
Nini chanzo cha mtoto kuwa na kitovu kikubwa kama puto? Na je, mtu akisha kuwa na kitovu hicho, kuna dawa ya kukifanya kiwe kidogo?
Mtu anaweza fanyiwa upasuaji kukiondoa?
Natanguliza shukrani.
Siamini kama ni maumbile, naona kama kuna kitu kimekosewa. Ushauri wenu utasaidia
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Hilo puto ukaliuze ila akikua kinapungua
Anaweza leo hii mimi nilikuwa tmj, mwanangu alikuwa anafanyiwa suna, kuna mdada nae mwanae alikuwa anapunguzwa kitovu, inafanyika wala usiwe na shidaWadau wa afya salam.
Nini chanzo cha mtoto kuwa na kitovu kikubwa kama puto? Na je, mtu akisha kuwa na kitovu hicho, kuna dawa ya kukifanya kiwe kidogo?
Mtu anaweza fanyiwa upasuaji kukiondoa?
Natanguliza shukrani.
Siamini kama ni maumbile, naona kama kuna kitu kimekosewa. Ushauri wenu utasaidia
Tmj pia wanafanya jana nilikuwa pale mwanangu kafanyiwa suna, kuna mtoto kaja kupunguzwa kitovu, wala haina shidaBasi na mie ntampeleka, kinaniboa sana.
Ramli chonganishiUzushi !! Mchane chali saba kwa kiwembe kisha mpanguse na tango pori na utupe hilo tango jalalani (maumivu yakizidi muone daktari)
Gharama zake zinakuaj3 au bima inagharamia.?Anaweza leo hii mimi nilikuwa tmj, mwanangu alikuwa anafanyiwa suna, kuna mdada nae mwanae alikuwa anapunguzwa kitovu, inafanyika wala usiwe na shida