Kitovu

Chocs

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
8,411
Reaction score
4,777
Ni nini husababisha kitovu kuwasha kwa ndani?

Hakitoi uchafu/hakina uchafu wala sioni chochote,nikiingiza kidole nafanya kukizungusha tu vinapoa maana naogopa kukuna vinauma,hakiwashi muda wote wala si kila siku ni mara mojamoja sana..ni hali ya kawaida au kuna tatizo?

Msaada tafadhali

Chocs

good'afternoon
 
Last edited by a moderator:
Mi nikupe poyeee na nitoe mijicho kusubiri majibu.
 
Una kitambi au tumbo lako ni dogo kitovu chako kiko kwa nje!
 
Safisha vizuri kila wiki na maji ya moto/Uvuguvugu ukitumia sabuni ya Dettol na kitambaa cheupe laini,ila usisugue kwa nguvu maana kitovu ni kilaini sana hivyo ni rahisi kuchubuka then nipe feed back after two weeks.
 
Asante
ntalifanyia kazi
Safisha vizuri kila wiki na maji ya moto/Uvuguvugu ukitumia sabuni ya Dettol na kitambaa cheupe laini,ila usisugue kwa nguvu maana kitovu ni kilaini sana hivyo ni rahisi kuchubuka then nipe feed back after two weeks.
 
Mchuchu awe anakilamba, dawa tosha.

Seriously, nenda hospital.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…