Kittens and other animal babies

Mshana paka kama hawa wenye nyuso za duara naweza pata wapi hapa bongo?

View attachment 2473809
Hawa wamejaa sana pale mitaa ya ferry kwa wapara magamba ya samaki. Wamevimba Sana mashavu.Ukifika pale we ni kujichagulia tu mwenye afadhali maana Kuna waliovimba Sana mashavu kwa kuvimbewa shombo na mabaki ya samaki.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…