Kittens and other animal babies

Kittens and other animal babies

Kali ya leo leo
giphy.gif
 
Hawa wamejaa sana pale mitaa ya ferry kwa wapara magamba ya samaki. Wamevimba Sana mashavu.Ukifika pale we ni kujichagulia tu mwenye afadhali maana Kuna waliovimba Sana mashavu kwa kuvimbewa shombo na mabaki ya samaki.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]

Nataka wa duara kiongozi sio walionenepa
 
Back
Top Bottom