Kitu amefanya Juma Jux kwenye AfterSchoolBash ni balaaaa

Tanzania hatuwezi kufika kwa kusifia tu kwa ushabiki, Ukweli tuna mengi ya kujifunza mimi nataka kumjadili top artist wetu Diamond maana huyuo Jux hawezi bado. Diamond alikuwa anatangaza zaidi ya miezi kuwa ataimba na live band yake London, matokeo anapanda jukwaani na playback na sababu za kijinga eti band yake visa zimechelewa, kweli unataka kufanya watu wajinga. Ni kosa kubwa kutangaza nitafanya hivi halafu siku ikifika unafanya tofauti na hii sio mara ya kwanza pale Mlimani show ya bure alitangaza nitakuwepo na team yangu kilichotokea wote tulisikia. Hii tabia aache haraka ita mgharimu sana. Kuhusu London asingeweza kwenda na Band sababu pale ni kama maisha club tu so show ni kawaida sana. toka zianze kuona live show zake zote ni kama copy paste hakuna jipya. kumalizia wasanii wote Tz ukija kuimba live wanachemka sauti zinakata.
 
Jux bora angefungua duka la nguo toka China
 
Maneno mazito chief, inabidi kijana ajirekebishe asee
 
Vanessa kumbe polygon na kifupi kama nyundo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…