Traveller X
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 271
- 305
Hii ni show ya JUMA JUX Pale Escape One kwenye party ya after school bash
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stori stori za mastaa mastaastori stori
Mambo ni motooooo kama wasemavyo kina soudy brownMambo yalikua Fireeeeeeeee
eeh nomaa sanaa... ila nilipenda sana show ya Rich mavocco very LiiiiTMambo ni motooooo kama wasemavyo kina soudy brown
Haters gona hateAnaimba kama ana maji mdomoni, au ni bora aendelee kunyanyua nondo aendelee kuwa na ka kiuno kembamba na kifua kipana kama katuni
Balaa la KingKiba hili hapa...
Maneno mazito chief, inabidi kijana ajirekebishe aseeTanzania hatuwezi kufika kwa kusifia tu kwa ushabiki, Ukweli tuna mengi ya kujifunza mimi nataka kumjadili top artist wetu Diamond maana huyuo Jux hawezi bado. Diamond alikuwa anatangaza zaidi ya miezi kuwa ataimba na live band yake London, matokeo anapanda jukwaani na playback na sababu za kijinga eti band yake visa zimechelewa, kweli unataka kufanya watu wajinga. Ni kosa kubwa kutangaza nitafanya hivi halafu siku ikifika unafanya tofauti na hii sio mara ya kwanza pale Mlimani show ya bure alitangaza nitakuwepo na team yangu kilichotokea wote tulisikia. Hii tabia aache haraka ita mgharimu sana. Kuhusu London asingeweza kwenda na Band sababu pale ni kama maisha club tu so show ni kawaida sana. toka zianze kuona live show zake zote ni kama copy paste hakuna jipya. kumalizia wasanii wote Tz ukija kuimba live wanachemka sauti zinakata.
ACha majungu mzeee babaJux bora angefungua duka la nguo toka China
TununuGabby Mwakagamba
Balaa la KingKiba hili hapa...
Maadam ile tabia vipi unaelekea kuiacha au bado inakolea?A real King of our times
hamna kitu hapo,A real King of our times