na mimi nataka nianze ni bei mnoMikeka ya kubet
Fungua PM yako basiSimu
Mimi hata nikinunua malapa roho inaniuma. Sipendi kujinunulia [emoji23][emoji23][emoji23] wananiita mchaga ila sio mchaga. Sema awamu hii wa kutununulia hamna. Tunaendelea kujinunulia wenyewe hadi biere ingawa roho inauma[emoji23][emoji23] unajitoa out muda wa kulipa bill roho inauma.
Najiambiaga laiti kama ningekua mwanaume sijui kama ningeweza kuhonga.
Umetishaaa...hahahh...! mie ningekuwa men ningekuwa lofa sana nAtoa sana hela yaani!
ila mm nasemaga ningekuwa men huyo mwanamke wangu ajiandae kisaikolojia..ntampenda na kumcare sana sana..ila nikigundua kanfanyia wehu siku hyo hyo namuacha!
Ana mume [emoji23][emoji23]Kumbe wakike wewe
Mimi hata nikinunua malapa roho inaniuma. Sipendi kujinunulia [emoji23][emoji23][emoji23] wananiita mchaga ila sio mchaga. Sema awamu hii wa kutununulia hamna. Tunaendelea kujinunulia wenyewe hadi biere ingawa roho inauma[emoji23][emoji23] unajitoa out muda wa kulipa bill roho inauma.
Najiambiaga laiti kama ningekua mwanaume sijui kama ningeweza kuhonga.
Yani inapotoka kwa urahisi ujue ni jambo muhimu na la lazima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanawake pesa zetu ngumu sanaa [emoji23][emoji23][emoji23] watu wanoongoza kwa ubahili ni wanawake