baghozed
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 532
- 97
Mbona mkopo ni pesa ndogo sana..sema kwa kuwa ce watanzania weng ni maskini ndo maana tunashoboka nazo...ila kijana alyesoma feza boys au gals huwezi kumkuta anashoboka eti kisa kapata mkopo!
Kwahiyo???utawakopesha au na wewe unaendelea kushoboka