MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,721
- 21,959
Aaaahhh noma sanaMwanaFA anajaribu kumloga Paulo Makonda, lakini...
1.Ndio kipaumbele cha kwanza cha Msambaa anapopata kazi mpya.
2.Msambaa anapenda gari Aina ya fuso kuliko Kitu chochote Duniani, ukimpa billion 100 na fuso yeye atachukua fuso.
3. Wanawake zao ni pisi sana
Yule msamba Farida pale Mwananyamala daah alikuwa hatari na nusu1.Ndio kipaumbele cha kwanza cha Msambaa anapopata kazi mpya.
2.Msambaa anapenda gari Aina ya fuso kuliko Kitu chochote Duniani, ukimpa billion 100 na fuso yeye atachukua fuso.
3. Wanawake zao ni pisi sana
Mwana FA ni Mbondee wa Muheza.MwanaFA anajaribu kumloga Paulo Makonda, lakini...
Kumbe baba yake ni Mbondei.Mwana FA ni Mbondee wa Muheza.
Mambo mengine anatusingizia. Hayo Mafuso huku milimani mbona hayapo! Au labda anawaongelea Wazigua wenye uhitaji nayo kwa ajili ya kusombea machungwa.
Kwani yule ni msambaa sio mbondei kweli?MwanaFA anajaribu kumloga Paulo Makonda, lakini...
Kuna jamaa kaniambia ni Mbondei.Kwani yule ni msambaa sio mbondei kweli?
MwanaFA sio Msambaa ni MbondeiMwanaFA anajaribu kumloga Paulo Makonda, lakini...
Yeah, nimechanganya madesa.MwanaFA sio Msambaa ni Mbondei