Kitu chenye sauti kubwa!

Kitu chenye sauti kubwa!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Hakuna kitu chenye sauti kubwa duniani kama mfuniko wa sufuria jikon ukidondoka wakati unadokoa nyama jikoni.

nakuja [emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39]
 
Hatari kweli! Ila haifikii sauti ya kikohozi chako mwenyewe wakati ukiwa unapiga chabo!
 

Attachments

  • 16998692_224029924728445_9008898582027720618_n.jpg
    16998692_224029924728445_9008898582027720618_n.jpg
    16.1 KB · Views: 77
Kweli JF mnaniacha hoi, ukipiga chabo na chafya ni hatari kwani hiyo sauti inashinda Big Bang theory
 
Back
Top Bottom