Habari zenu.....
Binadamu wanaongezeka sana,ila aridhi haiongezeki,tena inazidi kupungua kila kukicha,kama unauwezo wekeza kwenye kununua aridhi sehemu tofauti tofauti,tena nunua kwa kufuata maendeleo ya mji yanavyokuwa,angalia ramani za mji ndo ununue..
Aridhi ukinunua leo baada ya miaka kadhaa huko mbele utaiuza kwa bei kubwa,gari halipandi thamani,BMW ilipotoka ilikuwa bei ghari ila now days imeshuka thamani sana.
Wekeza kwenye nyumba na aridhi,hakuna baba mwenye gari kuna baba mwenye nyumba tu..
APPROXIMATELY..