Kitu gani ambacho watu wanahisi unacho halafu huna

Kitu gani ambacho watu wanahisi unacho halafu huna

otimbiotimbi

Senior Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
132
Reaction score
230
Sema tu ukweli wako usiogope, Eti ni kitu gani ambacho watu wanahisi unacho halafu kumbe huna....?[emoji41][emoji41]
 
Hicho wanachofikiri ninacho na kumbe sina,ndivyo vivo hivyo ambavyo hawana
 
Ngoma. Eti mini Nina ngoma! Mimi niwe ngoma ya kazi gani kwanza?
 
Back
Top Bottom