Kitu gani cha ajabu ulichokifanya utotoni?

Mmh ulikuwa noma sana.
 
siku moja niliiba maziwa ya unga bimkubwa kanikamata nikakataa katakata,, alichofanya aliniletea tu kioo akaondoka zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…