Kitu gani cha ajabu ulichokifanya utotoni?

Kitu gani cha ajabu ulichokifanya utotoni?

mi niliwahi kumdinya mtoto wa jirani , hata sikuingiza niiliishia kwenye mapaja tu nikachomoa nikakimbia nikawa namkwepa kila siku yeye akawa ananifuatafuata nymbani daily its was std 4 , nnikikumbuka nacheka sana
 
Napanda juu ya mti naanza kuunguruma kama gari, mdogo wangu ye konda. Siku moja nyoka akanitemea mate ndo ukawa mwisho wa kupanda mitini
 
nilikua nikijinyea najificha ndani ya kabatiii bas nyumbn washamba watantafutaaaa weee ila walokulia mjinii watanpata kwa harufuu ya kinyes
 
Ebwana mie nilikuwa nimebanwa na haja kubwa halafu sehemu niliyokuwepo ni mbali na nyumbani,jamaa akanichuza et niweke mawe kwenye mifuko ya bukta ndiyo yatapungua. Kilichofuata ni kujinyea na niliporudi nyumbani chupi nikaitupa chini ya uvungu wa kitanda.
 
me wakati mdogo nilikua nachelewa kutoka shule coz nilikua tukiruhusiwa tu kurudi home natafuta viboko naanza kuchapa majani na miti njiani huku naisemesha km wanafunzi...kufika home late
Haha! Umenikumbusha hiyo tabia,nilideal na michongoma ambayo haijakua haswa!,nilikua nacharaza sana!
 
Nimewahi choma nyumba. Kulikuwa na ndugu yetu tunaishi naye, aliniudhi hivyo nilichofanya ni kumlia timing ametoka, nilichukua baadhi ya nguo zake chumbani nikazipiga kibiriti, zilipopamba moto, nilizitupia hivyo hivyo chini ya uvungu na kusepa. Kurudi mida ya saa tisa, nyumba nyang'anyang'a, na baadhi ya vitu vimeungua. Ilikuwa balaa.
Uliwapaje watu hasara hapo kwenu!,walikuja kufahamu kuwa ni wewe ulihusika!?
 
nilikuwa naupenda ugomvi ila Sasa hivi nimekuwa mkubwa nimekuwa mnyonge kweli.
nalog off
 
Ukinipiga j3 nitalia ijumaa baba anapoingia nyumbani,huo mtiti wake sasa, alonipiga lazima aisome namba.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!!! umenikumbusha mbali sana kwani nami ilikuwa ni kawaida yangu kuachia darasani hasa tunapotawanyishwa shuleni saa 6 mchana au saa 12 jioni. Umenigusa sana
Uliachaje sasa
Kuvaa chupi ya kike

Haha! Umenikumbusha hiyo tabia,nilideal na michongoma ambayo haijakua haswa!,nilikua nacharaza sana!

Uliwapaje watu hasara hapo kwenu!,walikuja kufahamu kuwa ni wewe ulihusika!?
 
mi niliwahi kumdinya mtoto wa jirani , hata sikuingiza niiliishia kwenye mapaja tu nikachomoa nikakimbia nikawa namkwepa kila siku yeye akawa ananifuatafuata nymbani daily its was std 4 , nnikikumbuka nacheka sana
Umemifirahisha neno kudinya
 
Mie nilimcharanga shoka kuku aliekua anaataga na kupasua mayai yake yote baada ya kuanza kunipigia kelele nikiwa natengeneza gari languu la mbaoo.... Nilikua sipendagi ujinga mimi nikiwa kwenye kazi zangu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom