Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli aisee nakumbuka sister au Maza akinichana nywele naendelea kuinama nikokwepa hadi nachuchumaa kabisakuchana nywele ilikuwa ni shughuli nzito
Haha! Umenikumbusha hiyo tabia,nilideal na michongoma ambayo haijakua haswa!,nilikua nacharaza sana!me wakati mdogo nilikua nachelewa kutoka shule coz nilikua tukiruhusiwa tu kurudi home natafuta viboko naanza kuchapa majani na miti njiani huku naisemesha km wanafunzi...kufika home late
Uliwapaje watu hasara hapo kwenu!,walikuja kufahamu kuwa ni wewe ulihusika!?Nimewahi choma nyumba. Kulikuwa na ndugu yetu tunaishi naye, aliniudhi hivyo nilichofanya ni kumlia timing ametoka, nilichukua baadhi ya nguo zake chumbani nikazipiga kibiriti, zilipopamba moto, nilizitupia hivyo hivyo chini ya uvungu na kusepa. Kurudi mida ya saa tisa, nyumba nyang'anyang'a, na baadhi ya vitu vimeungua. Ilikuwa balaa.
Na hiyo kulog off umeanza toka udogoni nini?nilikuwa naupenda ugomvi ila Sasa hivi nimekuwa mkubwa nimekuwa mnyonge kweli.
nalog off
Uliachaje sasaHa ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!!! umenikumbusha mbali sana kwani nami ilikuwa ni kawaida yangu kuachia darasani hasa tunapotawanyishwa shuleni saa 6 mchana au saa 12 jioni. Umenigusa sana
Kuvaa chupi ya kike
Haha! Umenikumbusha hiyo tabia,nilideal na michongoma ambayo haijakua haswa!,nilikua nacharaza sana!
Uliwapaje watu hasara hapo kwenu!,walikuja kufahamu kuwa ni wewe ulihusika!?
Umemifirahisha neno kudinyami niliwahi kumdinya mtoto wa jirani , hata sikuingiza niiliishia kwenye mapaja tu nikachomoa nikakimbia nikawa namkwepa kila siku yeye akawa ananifuatafuata nymbani daily its was std 4 , nnikikumbuka nacheka sana
Kudinya ni kiswahili?Umemifirahisha neno kudinya
hivyohivyo wala hujakosea.Na hiyo kulog off umeanza toka udogoni nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie nilimcharanga shoka kuku aliekua anaataga na kupasua mayai yake yote baada ya kuanza kunipigia kelele nikiwa natengeneza gari languu la mbaoo.... Nilikua sipendagi ujinga mimi nikiwa kwenye kazi zangu
hahaHaha! Umenikumbusha hiyo tabia,nilideal na michongoma ambayo haijakua haswa!,nilikua nacharaza sana!