Kitu gani cha ajabu umewahi kukiona uliposhika simu ya mtu?

Kitu gani cha ajabu umewahi kukiona uliposhika simu ya mtu?

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373
Kuna mzee wa heshima sana aliniomba nimsetie simu yake mambo fulani.

Kwa bahati mbaya inahusisha gallery, nilichokuta ni video za porn sijaamini kabisa na wala sijamuonesha dalili yoyote kua nimeona hadi leo.

Wa pili ni dada mmoja alipoteza simu yake hivyo akanipa email yake ni login ili nilog out katika divice zote, kisha nitafute picha ya risiti ya simu. nikaingia google photo daaa, nikakuta picha zake za uchi nyingi sana na nyingine video akicheza akiwa peke ake chumbani. yani kumbe watu wakijifungia ndani wanafanya mambo ya kijinga sana. sikumwambia na hakujua.

Tuliosomea computa twaona vingi
 
Picha ya zero iq nikaogopa Sana [emoji4][emoji4]

Mchawi ni binadamu ,paka ni kijakazi
 
Kuna mtu wa makamo kabisa alitumia simu yangu kumpigia mchepuko wake, baada ya kuongea naye akaiblock ile namba.

Iliponitafuta, nikai-unlock ile namba; zikaanza kuingia messages za ajabu sana! Sikuamini kabisa kwa zile sms za kifirauni kabisa.

Yule demu wake alipiga tena wala sikupokea. Baadae nikai- block tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikutaga nude pictures kwenye simu ya mchizi ambae ni classmate na hizo picha ni za demu wa rafiki yangu mwengine ambae nae pia ni classmates.picha zenyewe ni chick anaworship holly verses through dick(blowjob)...dah!niliwaza kinoma, mapenzi ni uchiz hakyanan 😁🙌🏽🚶
 
Lazima utoe tu ili urekebishiwe au uteng’enezewe

Kuhusu kurekebishiwa huwa narekebisha mwenyewe kila kitu,kama sijui nagoogle ama natumia youtube ya namna ya kurekebisha

Kutengeneza simu?sijawahi asee na ikitokea inatakiwa kutengenezwa niko radhi kuireset
 
Kuhusu kurekebishiwa huwa narekebisha mwenyewe kila kitu,kama sijui nagoogle ama natumia youtube ya namna ya kurekebisha

Kutengeneza simu?sijawahi asee na ikitokea inatakiwa kutengenezwa niko radhi kuireset
Safi wewe mtundu sana sio kama wengine hadi alarm mpaka wasetiwe
 
Sijawahi na sitawahi kamwe kushika cm ya mtu, maan cm n privacy yake. Pia hakuna atakaewahi na haitakuja kutokea mtu kushika cm yangu maan n privacy angu.
 
Hahhahaahahahh sijawahi kupekua simu ya mtu aiseee labda iwe bahati mbaya
 
Jina nililoseviwa roho iliniuma Sana. Yaani mm ni kuitwa "paka?"
 
Kukuta picha za x simu ya mmama,

Kukuta video za x na picha zake za utupu (selfie) kwa dada mlokole wa kutupa.

Mwingine wa duka la jirani kaleta simu kuichaji dukani kwangu (ilikua bado haijajilock) nkaona video kibao anacheza uchi, pia nkagundua anadate na jamaa wauza maduka wanne, wote wapo jengo moja na frem zimefatana hapo na mimi alikua ananiwinda (nilijua baada ya kutrack wasap yake) na baadhi ya video zake anatumia hao wanaume, na mimi nkamuomba akanitumia.

Nna wasap web zaid ya 10 kwenye simu yangu, mademu wakijichanganya kunipa simu zao niwarekebishie kitu natrack fasta, naona vituko balaa, hawa wanawake ni nyoko.
 
Back
Top Bottom