Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Keki ya bday yangu kwa mara ya kwanza nilikula last yr, kikundi kilininunulia bt mwenyewe sijawah kununua wala kuhangaikia na haijawah kunipa mawazo hyo siku maana siku zingine bday inapitaga tu hivi hivi kama sina plan yoyote.
Mimi pia, huwa nakumbuka kwa maneno tu. Keki ya kwanza nimekula mwaka juzi alininunulia mwanaJf

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ebo!

Mkuu,

Naomba tuwe marafiki!
 
Kushangilia Yanga
Kufanya mapenzi dakika2
Kupiga pcha kwenye cm yangu
Kuvuta bangi
Kumlilia mwanamke
Kuipenda ccm
Kumpenda jiwe
Kufua boxer
Kumnyonya mwanamke k
 
Khaa jamani[emoji16][emoji16] kuna mambo kama mawili tunafanana kwa kiasi fulani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuvaa wigi, hereni.

Kunywa pombe

Kupigana

Kuimba mbele za watu(nina aibu tani 50k[emoji1])
Kucheza mziki kiwanjani(nacheza pekeangu chunbani maana hata kucheza sijui).
Orodha ni ndefu ila acha niishie hapa maana....
Kwahio hata sikio hujatoboa?
 
Hivi hii club inakuaje kwa jinsi unavyosikia,wanacheza uchi au wanakuwa na nguo ukiwalipa wanasaula?
Mimi kwa sababu sijaingia nitakusimulia hadithi za kufikirika tu ndugu yangu.
 
Kuna watu kazi yao ni kusaka machimbo ya chabo,ni kama ugonjwa fulani hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…