Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Niliwahi kwenda mara kadhaa na washkaji ila niliishia kuzunguka tu humo ndani ,halafu nikirudi kulala nabaki na makelele masikioni ,kichwa kizito,nikaacha,labda uwe unalewa ndio utafurahi
Huwezi amini mimi sijisikii kabisa kwenda hiyo sehemu sijui kwanini hata
 
sijawahi fanya sherehe za graduation, kwa ngazi zote za elimu nilizopitia, nina bachelor degree
 
sijawahi kutoka nje ya kanda ya ziwa ukweli niseme na sio kwamba sina nauli ya kinitoa nje ya ukanda huu ila huwa naona kam na lost time TU.
 
sijawahi kutoka nje ya kanda ya ziwa ukweli niseme na sio kwamba sina nauli ya kinitoa nje ya ukanda huu ila huwa naona kam na lost time TU.
Aisee, toka upate exposure na kuosha macho maeneo tofauti
 
Back
Top Bottom