Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
Mbona Jina ni la Mtoto wa P-funk Majani?
nimesema jina lako linafanana na la mtoto wa P-funk Majani.
Si ndo maana nakupendaga tuwe wachumba.Kumbe na wewe unakula kucha kama mimi aisee
Si linaficha vizuri tako na mifutafuta na Ile michoro.Hilo ni vazi la heshima? Au unamaanisha nini kusema "vazi la heshima"?
Aye=Yea au?
Kwangu ni vitu vya kawaida.Kumbe kuenda Chato na kumuona mgonjwa wa Corona ni vitu vya kawaida
aisee[emoji848][emoji848][emoji848] mi labda kunywa pombe na kwenda club ndo sijawahi
Hata mimi pia aisee.
Sijawahi kabisa
Ndio babe, sasa kakujuaje[emoji16]Naam, [emoji1322][emoji1322][emoji1322]
NimekujaaaKwa hiyo babe huyu ni anko wetu?
Hujanitambulisha,
[emoji6]
Sijawahi kusex na mwanaume na haitakuja kutokea,[emoji777]
Sijawahi kwenda kiwanja chochote cha mpira kushangilia japo rafiki zangu wengi ni wana michezo, [emoji2359]
Sijawahi kuomba mtu nisiyemjua pesa,[emoji724]
Sijawahi kukataliwa nikitongoza, [emoji23]
Ulikua na umri gani wakati huo?Uwiii!! Hadi dada yako nimekushinda mana kimtaani mtaani nliwahi kupigana na mvulana kipindi hicho niko mdogo wee alinidunda nakumbuka kulikuwa na mtaro mdogo tu pembeni akanidumbukiza humo nikaanza kulia hadi dada zangu wakaja kunitowa mana sikupigana tena ikabakia nalia tu huku huyo mvulana ananisubiria kwa juu nitoke aniongeze.
Ila toka hapo sijawahi kupigana mana nikawa mwoga hadi kwa wanawake wenzangu kwa hofu nikipigana nao watanipiga. 😅😅
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] mweeSi ndo maana nakupendaga tuwe wachumba.
Teh mbona hata sijawahi kusafiri kwa mwewe mkuuKwangu ni vitu vya kawaida.
Kwa mfano wewe ulitaka kuwa mnajimu. Ila kusafiri kwa mwewe kwako ni kitu cha kawaida
TehTeh mbona hata sijawahi kusafiri kwa mwewe mkuu
Dildo zinakukomaIla we mtata
Hebu nikumbushe tena tarehe mi nifanye mambo aisee, maana huu ushamba si wa karne hii. 😁 😁[emoji16][emoji16][emoji16] mwaka huu tufanye sherehe niondoe ushamba Yego
Sent using Jamii Forums mobile app