Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Sijawai kuvuta bang, sigara na ugolo.

Sijawai kudate na wanawake zaid ya mmoja kwa wakat mmoja.

Sijai kujisaidia aja kubwa kwenye choo cha kulipia.

KUBWA ZAIDI.
Sijawai kumwambia mama samahan kwa maudhi, fedheha, makosa na aibu nilizo mtia enzi za ukuaji wangu
 
Sijawahi kumuambia mwanafamilia yeyote kuwa nampenda
Sijawahi kutambulisha mpenzi kwa familia wala marafiki
Sijawahi kuvaa suruali kama mtoko
Sijawahi kukaa uchi mbele ya mtu yeyote ( ukiacha enzi za utoto)
Sijawahi kushiriki ibada yoyote nje ya ibada ya kikristo
Sijawahi kuingia na nondo kwenye mtihani


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hii thread inasababisha nicheke sana, yaani kuna sijawahi za maajabu humu
 
Walivyokukuta na kibendi ilikuwaje ?
 
Hapo kwako nimefurahi kwa sababu ya issue ya kuingia na nondo.

Niliwahi kuingia na nondo nikiwa darasa la 6 halafu nikashindwa kuitumia, nilitetemeka sana siku hiyo. Ndo mwanzo na mwisho wa kuingia na nondo.
[emoji16][emoji16][emoji16] yataka moyo sana kutumia nondo aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mpenzi anakulaje tunda sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…