Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Sijawahi kwenda club
Sijawahi kwenda Coco Beach
Sijawahi lala na demu usiku kucha ni mwendo wa mchana mchana tu.
 
Sijawahi kufanya mapenzi na msichana/mwanamke mweupe
 
Sijawahi kuvuta bangi,
Sijawahi kununua Dada poa,
Sijawahi kuogelea kwenye swimming pool,
Sijawahi kufanya masaji,
Sijawahi kufanya sherehe ya birthday/graduation,
 
Nimepitia sijawahi za watu kumbe sijawahi kufanya vitu vingi sana
 
Kunywa pombe
Kuvuta sigara,bangi,shisha
Kitafuna mirungi
Kuipenda sisiemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…