Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

sijaoa bado..ila zile za come and stay for
two days anavaaga kama uliyoipost..ni nadra sana kumkuta dada wa kibongo hana aina hiyo ya nguo kwenye collection yake
Sawa Darmian .
 
Hii hata mimi sijawahi ifanya!

Nikiwa chuo kuna mate alijinasibu kuwa hajawahi tapika katika maisha yake yote, akapewa jina la 'non vomitter'
Duuh huyo noma, ila hata alivyokua mdogo hajawah tapika? Enzi zile unameza dawa chunguu 'klorokwin'
 
Sijawahi kupiga chabo,,,,mabaharia huita kupiga deo....hivi ina raha gani WAKUU? kuna siku FUNDI RANGI kaanguka,,,, aliingia na kopo lake la rangi chumbani kwangu....halafu nipo na mtoto MKALI sana NAGEGEDA...fundi aliniharibia siku... DUU...kumbe alikuwa anapiga CHABO...
 
Nimemaliza kusoma huku nacheka..
Nikupe pole Dada.. Mimi kupigana Ki ukweli labda nyakati za utoto ambazo sina kumbukumbu.. Ila nilipoanza kupata akili na kujitambua naweza kusema kupigana ni kitu ambacho sijawahi kwanza mimi ni muoga mno...
Mimi nimepigana shule ya msingi, kuanzia form one hadi hapa ninapoandika sijawahi kupigana au kutukanana na mtu hadharani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…