Me nakumbuka rafiki yangu alimnunulia Prado demu wake ikiwa ni mwezi mmoja tu wa relationship yao wakati yeye anatembea na gari aina ya Vits alafu wazazi hawajawanunulia wala nini. Baada ya miezi mitatu kupita wakaachana.
Je, kwa upande wako Jambo gani la kipuuzi umewahi kufanya kwenye mahusiano?
Je, kwa upande wako Jambo gani la kipuuzi umewahi kufanya kwenye mahusiano?