Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 1,819
- 2,134
Acha sigarahabarini humu ndani
nahitaji msaada kitu gani cha kutumia ili kurudisha lips katika rangi yake ya kawaida zimekua nyeusi mno
asanteni in advance
Dry au mixtureBangi nzuri haihusiki usiache bangi achana na kushabu, tafuta yenyewe 🐒
Hivi akuna aina nyingine ya filter ukiachana na nyotaKama ni mvutaji wa bangi, jitahidi ukinyonga uweke nyota kama filter huku chini, na sigara punguza pia kiasi kama sio kuacha kabisa
Wazamiaji uvinza hua hatuna lips nyeusi ,Mwambie aache BANGIMkuu Kama huwa hauzami Uvinza ...........Basi itakuwa wamekuloga .......coz tatizo hilo huwapata wazee wa uvinza
sigara situmii mkuuAcha sigara
[emoji23]
meWewe ni ke au me? Tuanzie kwanza hapo. Au tuma picha tuone ili tujue ni nini na nini cha kufanya