Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 1,819
- 2,134
- Thread starter
- #21
hapaka mkuuNyagi hiyoo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapaka mkuuNyagi hiyoo.
Nyingi tu, maamuzi yako tu. Ila wengi hupenda nyota kwavile tayari shada kashalimix na nyota.. ila nyingi sana wengine hukata filter za fegi n.kHivi akuna aina nyingine ya filter ukiachana na nyota
Awe anapaka Pa kulala, hamuoni mtu.Acha mtipombe mdogo wangu. Halafu jitahidi usiziache ziwe zimekauka tumia mafuta maalum ya lips although kwa kificho maana masela wakikuona watahisi umeshakuwa mnyonya dishes sharobaro, au tumia mafuta ya Nazi ni mazuri zaidi Ila unapaka lips then unafuta zising'ae lakini zinabaki na mafuta kwa mbali.
Mtoa mada daka point hii ☝️Lips huwa zinaonesha haraka dalili ya ugonjwa au hali isiyo nzuri ndani ya mwili. Kama si hali ya kawaida ya SUSTAINED DEHYDRATION, basi utakuwa na condition fulani hatari kiafya, assuming hutumii ^v-two v-two^ hatari physical.
Unaweza usiwe unatumia sigara,ila ndumu unatumia,acha bangi,narudia tena,acha bangi,mi sivutagi,ila ukiniwekea wavuta bangi hapo,ukawachanganya na wasiovuta,nawatambua kwa ngozi zao tu mbali na midomo.sigara situmii mkuu