Hiyo meli ya kifahari ya boss wa Chelsea AbromovicFew billions American dollars can make this dream come true
Hata mimi nawashangaa sana hawa watu,wanajikuta wana uchungu sana na maisha sisi wengine hatuna.Mliotaja viwanja sio vitu vya anasa (luxury)
Kwi kwi kwiii. Mume umetishaView attachment 318790full package
Umeona enhee. Navaaga dhahabu na almas kuanzia kichwani hadi vidoleni, wategemeani!?dah kweli luxury ni relative. mi nawaza pair tatu za aviators ambazo hazifiki 1.5m we unawaza anasa ya zaidi ya sh 12bln kwa mwaka. angel Nyoni ana bei kali!!
Shidaaah, shidaaaN:B Valid Dream
Tunatoa michango kulingana na content inasemaje!! Kujifariji hivi siyo mbayaShidaaah, shidaaa
Hapana bossi hizo zote ni anasa...Anasa ni pale unapofanya/unaponunua kitu chenye thamani kubwa kulko standard...kmbuka kla mtu na starehe yake,kuna mwngne starehe yake mjengo kufull lakn anatembelea gari ya kawaida na mwngne ana most expensive car lakn anaish nyumba ya kawaida...Sas wee Ununue uwanja heka 50 kwa ajili ya makazi,unazani utajenge mjengo wa ktoto..wee C utakuwa unaish ikulu kabsaMliotaja viwanja sio vitu vya anasa (luxury)
Zinauzwa sh ngp na zipo wapi?hazina cha ziada mkuu zaidi ya kuwa original. zinaitwa aviator sababu zinavaliwa sana na mapilot kuwakinga na jua huko angani. pia huwa na frame nzuri.
Asante sanadar sijajua. labda mcity. yanacheza 400,000 hadi 500,000.
Ahahaaaaaa, mkuu original kabisa aise!!!Mmh original au mwenye avatar
Sio hii ndugu, hii mziki wake mdogo sana sana. yenyewe inauzwa in peces, search str - dn 1060 uone specifications zake interms of sound quality. Kitu high resolution sound na kuna special spekers nazo ni high resolution sound. Bongo haipo madukani.hiyo kitu ni balaa. naiwaziaga kama nawasikiliza iron maiden.
Sio hii ndugu, hii mziki wake mdogo sana sana. yenyewe inauzwa in peces, search str - dn 1060 uone specifications zake interms of sound quality. Kitu high resolution sound na kuna special spekers nazo ni high resolution sound. Bongo haipo madukani.
Mkwanja upo......inaenda ngapi hii kitu kwa sasa mdau?hiyo kitu ni balaa. naiwaziaga kama nawasikiliza iron maiden.