Kitu gani cha luxury umepanga kununua ukipata mkwanja?

Kitu gani cha luxury umepanga kununua ukipata mkwanja?

dah kweli luxury ni relative. mi nawaza pair tatu za aviators ambazo hazifiki 1.5m we unawaza anasa ya zaidi ya sh 12bln kwa mwaka. angel Nyoni ana bei kali!!
Umeona enhee. Navaaga dhahabu na almas kuanzia kichwani hadi vidoleni, wategemeani!?
 
N:B Valid Dream

Abramovich-mega-yacht-Eclipse-r3qry4cLZkcl.jpg

united-airbus-A380-800.jpg

Abramovich-mega-yacht-Eclipse-0ZYGZX_VSBPl.jpg

outdoor-living-options-690x478.jpg

luxury-underground-mansion-with-water.jpg

luxury-home-690x517.jpg

luxury-underground-mansion-with-water.jpg

luxury-home-690x517.jpg
Shidaaah, shidaaa
 
Mliotaja viwanja sio vitu vya anasa (luxury)
Hapana bossi hizo zote ni anasa...Anasa ni pale unapofanya/unaponunua kitu chenye thamani kubwa kulko standard...kmbuka kla mtu na starehe yake,kuna mwngne starehe yake mjengo kufull lakn anatembelea gari ya kawaida na mwngne ana most expensive car lakn anaish nyumba ya kawaida...Sas wee Ununue uwanja heka 50 kwa ajili ya makazi,unazani utajenge mjengo wa ktoto..wee C utakuwa unaish ikulu kabsa
 
mimi ni watoto wazuri wote watakaokatiza kwenye macho yangu na gambe tu basi
 
hiyo kitu ni balaa. naiwaziaga kama nawasikiliza iron maiden.
203527.jpeg
Sio hii ndugu, hii mziki wake mdogo sana sana. yenyewe inauzwa in peces, search str - dn 1060 uone specifications zake interms of sound quality. Kitu high resolution sound na kuna special spekers nazo ni high resolution sound. Bongo haipo madukani.
 
4fd67929252c4beccabe172ce05b0993

nimeiona mkuu. inamaana huwezi weka speaker zingine? maana wamesema output ni 165w kwa channel. ukipata speaker zenye hizo specification si zinaenda?
 
Back
Top Bottom