Kitu gani cha luxury umepanga kununua ukipata mkwanja?

nimeiona mkuu. inamaana huwezi weka speaker zingine? maana wamesema output ni 165w kwa channel. ukipata speaker zenye hizo specification si zinaenda?
We ni noomaa, mzee umesearch ukaipata. Speaker zingine zinaenda vizuri tu mkuu, Hii kitu ni 7.2 channel, ina subwoofer mbili na sorrounding speaker saba. na wana suggest upate Hi -Res speakers ndo inakuwa bomba.
 
Ugonjwa wangu huu
 
Ninunue pioneer plx 1000 mpyaaaaa,napenda sana deejaying kwa enjoyment tu,nina pioneer cdj 1000.nahisi within this year.
 
Ninunue pioneer plx 1000 mpyaaaaa,napenda sana deejaying kwa enjoyment tu,nina pioneer cdj 1000.nahisi within this year.
huwa unatengeneza na mix zako kama wakina gueta au unapiga udj kama wakina fetty.
 
Ndege binafsi pamoja na kumiliki kasri kando kando ya Miami beach
 
Hii kitu mimi ni ulevi wangu.., napenda mziki kuliko mwanamke.
mi mwenyewe mziki napenda sana na nahisi nimequalify kuitwa audiophile. nina kasony 5.1 watt 300 hakanikuni kabisa. inabidi nikitaka kuupgrade niifikirie hiyo machine.
 
Hakunaga Baba mwenye gari bali kuna Baba mwenye nyumba bhana!.
 
Attachments

  • 1453954187829.jpg
    34.9 KB · Views: 25
Hii kitu na yenyewe ni nzuri ukiwa nayo home, ilikuwa ninunue sema nikaona ngoja niboreshe upande wa audio kwanza. Ila mi naona keyboard ni much better kuliko hiki, Kuna keyboard nyingi tu nzuri, Yamaha, Casio, Roland...., Kuna jamaa aliniambia duka la jeshi pale JKT vipo vizuri na bei nzuri tu. Hii kitu nzuri ukiwa nayo home.
 
mi mwenyewe mziki napenda sana na nahisi nimequalify kuitwa audiophile. nina kasony 5.1 watt 300 hakanikuni kabisa. inabidi nikitaka kuupgrade niifikirie hiyo machine.
Yah, inaonekan unapenda mziki, jipange tu mkuu uchukue machine heavy duty upate maximum utility.
 
nataka Villas Moja Kali Yenye Swimming Pool Nje.
 
Attachments

  • amazing1.jpg
    30.3 KB · Views: 314
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…