Pmrika
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 374
- 210
We ni noomaa, mzee umesearch ukaipata. Speaker zingine zinaenda vizuri tu mkuu, Hii kitu ni 7.2 channel, ina subwoofer mbili na sorrounding speaker saba. na wana suggest upate Hi -Res speakers ndo inakuwa bomba.![]()
nimeiona mkuu. inamaana huwezi weka speaker zingine? maana wamesema output ni 165w kwa channel. ukipata speaker zenye hizo specification si zinaenda?