Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Ok sawainawezekana
Ni nomaNilimkimbiza panya akaingia chumba ambacho akina kitu na hawezi toka...nikafunga tu mlango,nilimfungulia baada ya siku tatu,njaa aliokuwa nayo hata angeona paka angemtamani amle
Nilituma mimi panya akunyoosheKuna siku nimepigika vibaya mno, ndani nna vidagaa mafuta na kaunga kama nusu hivi, nikasema acha hili buku jero nikachukue viungo nije nitoe kitu. Nikapika ugali na dagaa nikawaunga vizuri walikuwa watam sana, si mnajua dagaa ukitia ndimu hilo harufu lake na utam nazi ikasome.
Nilipomaliza kupika nikafunika fresh kabisa nikasema acha nifuate maji ya kurefill nikafanya hivyo, nimerudi na njaa yangu sikuamini macho yangu na ndani sikuwahi kuona panya, nikashinda njaa.
kwanini?Nilituma mimi panya akunyooshe
uliniachakwanini?
Uliniacha mwenyewe usinipange unajitoa ufaham siouliniacha
mwanaume ni mwanaume umeshindaUliniacha mwenyewe usinipange unajitoa ufaham sio
Polemwanaume ni mwanaume umeshinda
Alikukomesha!! [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku nimepigika vibaya mno, ndani nna vidagaa mafuta na kaunga kama nusu hivi, nikasema acha hili buku jero nikachukue viungo nije nitoe kitu. Nikapika ugali na dagaa nikawaunga vizuri walikuwa watam sana, si mnajua dagaa ukitia ndimu hilo harufu lake na utam nazi ikasome.
Nilipomaliza kupika nikafunika fresh kabisa nikasema acha nifuate maji ya kurefill nikafanya hivyo, nimerudi na njaa yangu sikuamini macho yangu na ndani sikuwahi kuona panya, nikashinda njaa.
Sana siku hiyo nililegea kwa njaa kama utambi 😂