Kitu gani cha ushujaa umewahi fanya katika maisha yako??

Niliokoa wasichana 3 usiku wakiwa wamezungukwa na vibaka tayari kwa kukabwa.
Niliokoa kijana aliyesingiziwa kuiba kisa alikuwa anakimbia mjini akiwahi gari, mtu mmoja aliita mwizi na watu wakaanza kumshambulia bila kuujua undani.
Nilifanikiwa kuutuliza umati mkubwa na kijana akasalimika
 
Usiku mmoja majira ya saa nne usiku nilisikia sauti ya kike ikiomba msaada toka vichakan nilikimbilia kwa haraka bila kujali nilikanyaga majitaka maana nilihisi anabakwa kufika nakuta yupo na jamaa mmoja nauliza vp wanadai kibaka ikabidi niwatoe hadi njian ila nilitaka kuwamaind kinoma basi nikatulia maana demu simu anayo na kila kitu wako okay, hlf mtu mekanyaga majitaka bas nikaacha Mungu atazame mwenyewe
 
Kumgomea principal wa shule ya sekondari niliyokuwa nasoma,,,alipotaka kunipiga nilireact kwa kumsogezea kiti,,nilimuumiza ,,,aliniita ofisini kwake akiniweka kikao na mwalimu wa nidhamu,,cha ajabu mwalimu akamstaajabu mkuu wake nini kimetokea mpaka Waziri wa Nidhamu nilikuwa pale,,,hakika maelezo niliyoyatoa yalitosha mimi kushinda kesi ile hasa ukizingatia darasa langu lilitoa ushahidi wa kusapoti maelezo yangu.


Hakika nilijifunza kwenye kupambana kupata haki yako bila kujali nani unapambana nae maana sikuwa na hatia ila mkuu alitaka kutumia nafasi yake vibaya.
 
Nilichoka kila kwa [emoji102] nikaamua Kulibonyeza kalio la madam wangu wa kiingereza form one kisa akitembea linavaibreti sana..
Asee nilikula fimbo[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yani huu ni ushujaa kupita maelezo.Huwa nawaza sn nikitakiwa kuwepo Tz .Ni nchi ya ajabu sn hapa Duniani
acheni upumbavu.

mnapaswa kujiita wenye bahati sio kwa kufuru huko.. hivi mngezaliwa DRC ,Iraq,syria au palestina mngesemaje?
 
Nikiwa form 3 kuna ticha alikuwa mkuda sana.alikuwa anatufundisha civics na book keeping.
Basi siku hiyo kaingia pindi akaanza kunizoea!mi nimetuliaa kimya hadi akanifata kwanini naomgea na we umenyamaza??!!!nikamjibu samahani mwalimu akaniwasha fimbo moja matata sana kwanini unanijibu!!basi nikamvuta kidogo nikamshushia ndoo moja matata sana hadi chini.nikamfata na buti moja la mbavu akalia kama mbuzi kabanwa pumbu!wanafunzi wakanishika na kunizuia!
Ikawa kelele class mara naona ofisi nzima ya walimu wanakimbia kuja class hapo nikaona msala huu!nikapishana nao mlangoni barutiiii
 

Kama alichofanya yule Msenegali jana kule nchini Ufaransa na tofauti yake tu ni kwamba Yeye alimuokoa Mtoto kutoka katika ghorofa ili asianguke na Kufa ila Mimi nilimuokoa Mlevi wa ' Mataputapu ' aliyepanda katika Mti mrefu wa Mnazi na nikafanikiwa Kumuokoa japo tulipofika nae chini na Mimi nilijikuta tayari nimeshalewa kidogo.
 
Gahawa gawaha gahawa
 
Nilizamisha...kabla sijapump nikachomoa kiroho ngumu[emoji51][emoji51],nikainuka kwenda kwa Mangi kununua Ndomu.
Dah hii ni zaidi ya tukio la kijasusi
 

Nimesomesha watu 10 wakiwemo yatima na rafiki zangu hadi level ya chuo kikuu with a full sponsorship
 
Siku nlipoambiwa na mwalimu wa kiswahili "fanya masahihisho" nikamjibu "sifanyi na usipende kuandika daftari langu na mawino yako mekundu"
 
Kumtorosha girlfriend toka kwenye defender ya polisi ilipopaki nje ya central moja hapa Tz. Now ni ex wangu tu
 
Hahahahah mkuu
Uliendelea na shule kweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…