kitu gani hukukasirisha na kukuudhi job?

kitu gani hukukasirisha na kukuudhi job?

Usiombe umkute mwanamke supervisor ( hicho cheo kakipata baada ya BOSI kumla) ukianza kazi na ni mdada basi utanyanyaswa na huyo superv. Mpaka ukome coz anahisi na wewe utatongozwa na bosi akinogewa atanyang'anywa usupervisor utapewa wewe
 
Back
Top Bottom