Mafuta na sabuni anazotumia kujipaka na kuogea ndio ChanzoKwa yeyote ambaye amewahi kupitia changamoto kama hii na akafanikiwa kuitatua atujuze tafadhali.
Mafuta ya asili ndio yameondoa hilo tatizo ndio maana nikamwambia atumie mafuta ya asili iwe ya Nazi au mafuta mengine yoyote ya asili tatizo linapotea lenyewe taratibuUlikuwa unatumia mafuta gani mkuu, mimi nilikuwa nahisi labda ukipaka mafuta ndo tatizo linaondoka.
Sawa mkuuChukua jiwe la kusugulia miguu lile la miatano au elfu moja, chukua beseni, maji ya vuguvugu, kias weka sabuni ya unga humo loweka kama dakika tatu miguu halafu sugua miguu na lile jiwe vizuri mguu wote hadi sehemu ya kukanyagia , katikati ya vidole, na kwenye ngozi ya juu ya mguu, halafu toa mguu ukauke paka maji ya limao, tulia kabisa,
Hio inaondoa tatizo siku 1 baada ya hapo tatizo linaendelea vile vileChukua jiwe la kusugulia miguu lile la miatano au elfu moja, chukua beseni, maji ya vuguvugu, kias weka sabuni ya unga humo loweka kama dakika tatu miguu halafu sugua miguu na lile jiwe vizuri mguu wote hadi sehemu ya kukanyagia , katikati ya vidole, na kwenye ngozi ya juu ya mguu, halafu toa mguu ukauke paka maji ya limao, tulia kabisa,
Unasafisha miguu walau kila wiki mara moja au mbili baadae hiyo hali inaisha kabisa unakua poa lakini muhimu usafi, usafi uwe mara Kwa maraHio inaondoa tatizo siku 1 baada ya hapo tatizo linaendelea vile vile
Ongezea Kiatu kisiwe cha kubana sana Mguu maana kikibana sana Jasho likitoka mguuni kifuatacho balaaFua soksi na zikauke vizuri, hakikisha kiatu kinakua safi, ukimaliza kuoga uwe na taulo ndogo maalumu ya kufutia miguu usivae kiatu kama miguu haijakauka vizuri, kausha miguu vizuri ndio uvae kiatu
Ndio sendoz ni muhimu kwa mtu km huyoUnaeza pia baada ya hayo ujitahidi kua walau na sendoz hata pea moja ili muda mwingine kuacha mguu upate hewa, hasa jioni unapiga sendo yako safi na kuzingatia usafi