macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Swali la kwanza. Anabadilisha soksi? Soksi zinatakiwa zivaliwe mara moja tu halafu zinafuliwa. Siyo week nzima unavaa soksi hizo hizo. Pia kuna cream au powder inaitwa mycota, unapaka kati ya vidoleKwanini sasa niseme uongo wakati humu hatufahamiani?